Amehlo
JF-Expert Member
- May 8, 2019
- 10,104
- 29,178
Na ibaki kuwa siri yakoNishajua ulichosema moyoni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ibaki kuwa siri yakoNishajua ulichosema moyoni
Mgagi ni nini niambie kwanzaNtajua tu 😂😂😂
Nitakwambia pm 😂😂😂Mgagi ni nini niambie kwanza
Wewe unaamshwa ufanye kazi yako, huelewi.Habari zenu ndugu wana JF,
Kuna mapya nimeyaona baada ya kuingia kwa mara ya kwanza katika ndoa, nimeoa mwanamke kutoka huko Uyaoni Tunduru.
Ajabu yangu ni kwamba mara kadhaa nikistuka usingizini nakuta mke anasugua kiganja changu cha mkono wa kulia na hata nikikunja kiganja kwa mfano wa ngumi huwa anabana katika mshipa wa fahamu baina ya kiganja na mkono mwishowe lazima utafungua ngumi yako na atasugua eneo la kati ya kiganja.
Niliamua kumchunguza kwa muda mrefu haachi na sijui nini maana yake, naomba msaada kujuzwa na mwenye kujua ni nini habari hii, ni nini maana na sababu ya kufanyiwa haya kusuguliwa kiganja!
Anahangaika na Nyota huyo ila sijui kusudi lake, muhimu angalia je akishakusugua ukienda kusaka pesa unazipata, ukioa mjanja halafu wewe mwanaume ukawa fala ni shida sana pole.Habari zenu ndugu wana JF,
Kuna mapya nimeyaona baada ya kuingia kwa mara ya kwanza katika ndoa, nimeoa mwanamke kutoka huko Uyaoni Tunduru.
Ajabu yangu ni kwamba mara kadhaa nikistuka usingizini nakuta mke anasugua kiganja changu cha mkono wa kulia na hata nikikunja kiganja kwa mfano wa ngumi huwa anabana katika mshipa wa fahamu baina ya kiganja na mkono mwishowe lazima utafungua ngumi yako na atasugua eneo la kati ya kiganja.
Niliamua kumchunguza kwa muda mrefu haachi na sijui nini maana yake, naomba msaada kujuzwa na mwenye kujua ni nini habari hii, ni nini maana na sababu ya kufanyiwa haya kusuguliwa kiganja!
Nataka hapa hapa na wengine wajue au na wao utawapm ?😂Nitakwambia pm 😂😂😂
Imeisha hio sasa kama kuna wanga wanamnyemelea na kama mke husugua kulia basi ana malaika ndani lakini ikiwa ni kushoto imeisha hioMithali 3:16
Ana wingi wa siku katika mkono wake wa kulia, Utajiri na heshima katika mkono wake wa kushoto.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kiboMkuu huyo Mkeo anakuwa hajatosheka na mechi uliyokuwa umempa, hivyo anafanya hivyo kukuamsha ili muendelee
Saikolojia inaonesha Mwanamke hawezi kupata usingizi iwapo hajafika kibo wakati mna du, kwani huwa wanahisi maumivu
Jitahidi uwe unamfikisha Mkuu
Eee wote nitawapm wasijali 😂😂😂Nataka hapa hapa na wengine wajue au na wao utawapm ?😂
siku hizi ukitaka kuoa uwe makini vijana wengi miaka hii wanaoa vigagula...Habari zenu ndugu wana JF,
Kuna mapya nimeyaona baada ya kuingia kwa mara ya kwanza katika ndoa, nimeoa mwanamke kutoka huko Uyaoni Tunduru.
Ajabu yangu ni kwamba mara kadhaa nikistuka usingizini nakuta mke anasugua kiganja changu cha mkono wa kulia na hata nikikunja kiganja kwa mfano wa ngumi huwa anabana katika mshipa wa fahamu baina ya kiganja na mkono mwishowe lazima utafungua ngumi yako na atasugua eneo la kati ya kiganja.
Niliamua kumchunguza kwa muda mrefu haachi na sijui nini maana yake, naomba msaada kujuzwa na mwenye kujua ni nini habari hii, ni nini maana na sababu ya kufanyiwa haya kusuguliwa kiganja!
AahaaaassUjinga mwingine bana, umeshindwa kumuuliza mkeo unatuuliza sisi kama tunasuguliwa wote?!
Kumbukeni Tanzania yote inamuunga mkono Dr Samia 2025[emoji23] huo mtifuano huko CCM unajifanya huunjui? Anyway tusiharibu mada ya mwanaMshana Jr njoo huku nyie watalaamu wa vilinge mpe ufafanuzi mdau. Kumbukeni Tanzania yote inamuunga mkono Dr Samia 2025!
Anapata raha fulani wala hakuna baya hapo! Tena shukuru yeye anasugua kiganja/kiwiko.. Wengine wana tabia mbaya hamu zao huwatuma kusugua kwenye zakari [emoji23]Habari zenu ndugu wana JF,
Kuna mapya nimeyaona baada ya kuingia kwa mara ya kwanza katika ndoa, nimeoa mwanamke kutoka huko Uyaoni Tunduru.
Ajabu yangu ni kwamba mara kadhaa nikistuka usingizini nakuta mke anasugua kiganja changu cha mkono wa kulia na hata nikikunja kiganja kwa mfano wa ngumi huwa anabana katika mshipa wa fahamu baina ya kiganja na mkono mwishowe lazima utafungua ngumi yako na atasugua eneo la kati ya kiganja.
Niliamua kumchunguza kwa muda mrefu haachi na sijui nini maana yake, naomba msaada kujuzwa na mwenye kujua ni nini habari hii, ni nini maana na sababu ya kufanyiwa haya kusuguliwa kiganja!
Sasa si umuulize mwenyewe aisee!!Habari zenu ndugu wana JF,

Nyie wambea mbea tu mandhani eti Mama hagombei wakati watanzania 99.9999% tunamuunga mkono. Hatuna mtifuano wala nini. Tupo kamili kabisa!Kumbukeni Tanzania yote inamuunga mkono Dr Samia 2025[emoji23] huo mtifuano huko CCM unajifanya huunjui? Anyway tusiharibu mada ya mwana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mdogo wangu Half american born town mgagi anaujulia wapi?Shemeji nenda gugo ukapate na picha kabisa
Mmeshampokea Albert kijana wa John Magufuli?Wewe unaamshwa ufanye kazi yako, huelewi.