Msaada baada ya kuuza mechi nimekuwa mtu wa kuhisi nimeambukizwa UKIMWI

Sasa bwana mdogo , vidonge vya Pep vipo na sasa vimezagaa bado ukashindwa kuvitafuta uiponye nafsi ?

Anyway siku nyingine jitahid kuwahi vidonge mapema , ila kwasasa itoshe kukuambia huna UKIMWI sitaki kukueleza kiundani maana ushajikatia tamaa ila jua uko sawa , punguza mawazo .

Huyo demu wako umemkosea sana muombe msamaha
 
Mkuu nimekuelewa nilipagawa kupitiliza yani sikujua nini cha kufanya.
 
[emoji1666]
 
Hii condition sijui inaitwaje kitaalamu kuna wadau apa JF wametoa visa vyao nao kama iki cha kwangu.
 
Broo umenigusa sana sana iyo hali iliwai nipata nililala na dem akanip pombe nikajikuta napiga bao moja kavu akili ikanirud nikapig mawil na kinga lakin sikuwez ku judge chochote badae huyo dem akachukua simu yangu kuingia fb akasahau ku log out mzee si nikazam dm yake ………. Mzee nakuta kwanz wanaume 20 watano wamemula hadi nyuma wengine wanamusifia ana k tamu sana anajua kuikatikia daah…..


Nilipatwa na msongo wa mawazo nilijua kabisa uyo dem kashaniua maan kuugua ugua kwake ilikuwa kitu cja kawaida nikavuta picha nikaona mimi tayr nishaukwaa mawazo yalinipelekea nikaanza kuugua nikapat vipele nikapat vidonda mdomoni yaani kiujumla mwil wangu uliharibika kiakili pia nilikaa mwisho wa siku nikaamua kwend kupima nikakuta mzim ile hali ikaisha japo imeniachia shida mwilin miship iliharibika sana kumbe mawazo yanaua jamaa angu ogop stress ni stor fup lakin nanayo ndef san. Nime summuriz tu
 
Mkuu mawazo yanaleta magonjwa mengi ya ajabu
 
Pole sana mkuu hii condition ni mbaya sana ..kitu kingine ukisema u Google symptoms ndio unapotea kabisa mawazo ndio yanaanzia apo mimi nilitaka kujiunga mpaka na magroup ya ukimwi so sad hii condition sitaki tena ijirudie ndani ya maisha yangu na namuomba mungu aniepushie na ili gonjwa ...maumivu uliyoyapitia mkuu nayajua[emoji1666]. Namshukuru mungu na membe6wa JF walionipa moyo na wanaoendlea kunipa moyo bila wao ningekuwa kwenye hali ngumu sana now JF imekuwa ndio APP yangu Bora na muhimu kwenye maisha yangu..
 
Confidence humfanya mtu kushinda odds in Life...

Ofcourse Mimi ni mdau wa afya MWANDAMIZI (senior)

Kuna ndugu wa jamaa mmoja alikuja dar so ARVS zake zikawa zimeisha akanicheki am 4 real nimpatie japo chache zakutumia kabla hajarud mkoa.....

Nikaingia kwenye ofs ya rafk angu anipatie izo dozi akanambia am 4 real hizi dozi hata Mimi natumia for sure huwezi mdhania......

Scenerio yake yeye ya kupata Kwa bahati mbaya alijichoma Ile sindano Kwa bahati mbaya alipo kua ana mu attend mgonjwa......Ila aliwai kutumia zile dawa za kujihami.......

So Mungu NDIO mpangaji wa YOTE
 
Duhhh pole yake Aisee

Kuna raia hudhani kila mwenye cheche basi alikuwa Malaya
 
Wenge na wasiwasi hutokea automatic mkuu mpaka unaanza kuiona dunia yote chungu ukifikiria kuishi kwa matumaini wakati member kibao wa JF akiwemo na wewe Antonia mnaishi kwa uhakika[emoji17][emoji17]
Pole sana mkuu kabla ya yote ni vizuri kupima kwanza hata uwe umempendaje hata awe na shepu ipi hata awe mzuri vipi check first!!!

Afya kwanza mengine yapo tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…