Msaada: Baba yangu mzazi ameuza nyumba yake na hataki kunipatia pesa japo kidogo

Umeulizwa hapo juu, Unauhakika gani kwamba huyo ndiye Biological Father wako? Bro, Ni kama vile nakuona ukielekea usawa wa Isanga au panaitwaje pale......?
"Majuto ni mjukuu" walisema wahenga. Tafuta vyako -achana na vya Baba yako. Shughuli za kufanya ni nyingi tena ni nyingi mno. Inakuwaje wewe unachagua shughuli ya kumtoa roho baba yako? By the way, je, ikitokea Baba yako akagundua nia na uovu wako huo na aka-react fasta i.e.akakuwahi "kwa silaha yoyote ile" itakuwaje? Wapo jamaa walisemaga eti Action and Reaction are equal and Opposite. Cjui kama ni kweli.
 
Marehemu baba angu aliniachia usia aliniambia hivi katika maisha yako kuwa makini navyo ukidharau vitakutoa duniani mapema ni hivi
1)Mali zako
2)watoto wako
3)mke wako
mjomba wewe ni mkorofi sasa kwa ushauri ebu penda kuji shusha na tumia diplomasia na kama baba ako angelikufa mapema ndugu zako ungewadhurumu
 
Lipo hili kwa wasio na busara wanamuiga mama almas wakiamini watoto wao watakuwa kama almasi.
Inashauriwa kumpa mama pesa akamlipie mtoto ada au kununua nguo ni bora ufanye mwenyewe watoto waone mchango wako, wanawake wasio na busara wakipewa pesa na waume wakawalipie ada uwapandikizia sumu watoto angalia mwanangu Mimi ndo nahangaika nakulipia ada,au kukununulia nguo hapa unaanza mapema kutenganishwa na watoto watoto wakiwa wakubwa ile sumu utenda Kazi wanakuja kuelewa ni too late baba akiwa kaburini.
Watoto wenye hekima huwa awasikilizi upumbavu wa mama zao.
 
Kweli; Na hao ndo wangemtoa roho yeye kama anavyopania kumtoa roho baba yake.🥲
 
sasa mzee akiniwahi sii he has just put me out of my misery what more can one ask for? mara 100 niwe katika ulimwengu wa wafu kuliko kuwa hapa duniani nateseka knowing full well my own father has failed to help me. mtu ambaye mwenyewe kwa tamaa zake za kugegegda na kuwa na mtoto ndio nimekuja hapa duniani.
bwana sikiliza hapa sio kwamba huyu mtoto wake ameonyesha tamaa ya mali. anachohitaji yeye ni msaada wa kifedha thats all. angekuwa ana tamaa na mali mbona angekuwa kashamdedisha baba yake long time.
 
Jamaa umenikosha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kijana wa hovyo kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Ndio.mana baba yake kamnyima ela mana anajua kazaa boga tu.
Anasema alikua na 170k akaimaliza kwa furaha, sa ukipewa 50 milion si atapata kichaa
Alikua na 270000ts akaitafuna ndani ya siku 3 imeisha,huyu atakuwa hana nidhamu ya fedha na mdingi ameshagundua hilo
 

Inawezekana mdogo wako ndio alikuja kulalamika hapa mwaka jana unatimiza 40 kimasihara bado kula kulala
 
We jamaa miaka 41 bado upo home unamtegemea mzee! Utaoa lini na kulea watoto wako? Dah! Mi nilipohitimu elimu ya msingi na kwenda kuanza elimu ya sekondari ndio ilikuwa mara yangu ya mwisho kuishi kwa wazazi.
 
JAMAA KAMA WEWE MKO WENGI SANA TANZANIA NI DISASTER KUBWA!!!!!!!!!!!
MWISHO WA SIKU YANATOKEA MAUAJI YA KUTISHA NDANI YA FAMILIA.
 
Tafuta mali zako mwenyewe..au kama uvivu umekuzidi tafuta jimama. Mali za wazazi wako hazikuhusu kamwe.
 
Uendako hupajui. Vipi akakupiga kipapai au Ulemavu mwingine utakaokufanya usiweze kumdhuru lakini hajakuua.
Kwani fedha anayohitaji lazima itoke kwa Baba yake? Je, msaada ni lazima uwe wa ki-fedha tu? Mbona kaja hapa jamvini kuomba msaada(sio fedha)?
Ni kweli hana Tamaa ya mali bali ana tamaa iliyokithiri ya fedha. Tamaa yake ya Fedha imemtia wehu kiasi cha kuitaka roho ya baba yake! By the way; hebu tujiulize ni nani aliye nyuma ya hoja yake? Huo msukumo anaupata wapi au kwa nani?.Isijekuwa huyo katangulizwa mbele tu lakini "Maelekezo yanatoka Juu".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…