Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeulizwa hapo juu, Unauhakika gani kwamba huyo ndiye Biological Father wako? Bro, Ni kama vile nakuona ukielekea usawa wa Isanga au panaitwaje pale......?Hilo mie halinihusu kinachonihusu mie ni kwamba yeye ni baba yangu na hivyo pale ambapo ninapitia magumu na yeye yupo katika financial position ya kunisaidia lakini akauchuna basi ni dhahiri hana upendo juu yangu sasa kama hana upendo kinachonakia hapo nikumtoa uhai tuu. Liwalo na liwe
Lipo hili kwa wasio na busara wanamuiga mama almas wakiamini watoto wao watakuwa kama almasi.Mkuu Kalunya; Sijasikia upande wa mchango wa mama. Mfano: Wapo baadhi ya wamama wanawaghilibu au wanapandikiza roho ya chuki kwa watoto wao ili waone na kuamini kwamba Baba ni Mkorofi -mathalani Wapo baadhi ya wamama wanathubutu kuwatamkia watoto wao esp. wa-kiume kwamba "Baba yenu huyo we acha tu; nisingesimama kidete sijui nyie leo ingekuwaje, huyo ni baba jina tuu."
Ni vizuri; amekuwa muwazi.
Kweli; Na hao ndo wangemtoa roho yeye kama anavyopania kumtoa roho baba yake.🥲Marehemu baba angu aliniachia usia aliniambia hivi katika maisha yako kuwa makini navyo ukidharau vitakutoa duniani mapema ni hivi
1)Mali zako
2)watoto wako
3)mke wako
mjomba wewe ni mkorofi sasa kwa ushauri ebu penda kuji shusha na tumia diplomasia na kama baba ako angelikufa mapema ndugu zako ungewadhurumu
sasa mzee akiniwahi sii he has just put me out of my misery what more can one ask for? mara 100 niwe katika ulimwengu wa wafu kuliko kuwa hapa duniani nateseka knowing full well my own father has failed to help me. mtu ambaye mwenyewe kwa tamaa zake za kugegegda na kuwa na mtoto ndio nimekuja hapa duniani.Umeulizwa hapo juu, Unauhakika gani kwamba huyo ndiye Biological Father wako? Bro, Ni kama vile nakuona ukielekea usawa wa Isanga au panaitwaje pale......?
"Majuto ni mjukuu" walisema wahenga. Tafuta vyako -achana na vya Baba yako. Shughuli za kufanya ni nyingi tena ni nyingi mno. Inakuwaje wewe unachagua shughuli ya kumtoa roho baba yako? By the way, je, ikitokea Baba yako akagundua nia na uovu wako huo na aka-react fasta i.e.akakuwahi "kwa silaha yoyote ile" itakuwaje? Wapo jamaa walisemaga eti Action and Reaction are equal and Opposite. Cjui kama ni kweli.
Jamaa umenikosha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa miaka hii kugonga 41, ni kumshukuru Mwenyezi Mungu! Angalau na wewe umekula kachumvi kidogo japo sio sana!
WHAAAAAAAAAAT?! Kuanza maisha?
Hapo ulichukua uamuzi wa busara sana kama "kijana" wa miaka 41!
Ulimchangia shilingi ngapi wakati anajenga?!
Ulitaka akupe pesa ya begi la shule au school fee?
Ebo!! Ina maana ulikuwa unaishi hapo hapo nyumbani, au?
Hakika baba yako ana roho mzuri sana. Ni lipi lililo jema kwa mzazi zaidi ya kumtakia heri mwanawe kijana wa miaka 41. Miaka 41 inakuwa umeshaingia phase two ya kuelekea kufa, kwahiyo heri kutoka kwa baba ni muhimu sana ili uweze kuishi angalau miaka mingine 20!
Unaona sasa! Kumbe jeuri! Yaani badala ya kumjibu unamdai nini, inaelekea ukapiga kimya!
Nani alikudanganya kwamba kuna sheria za kipuuzi kama hizo?! Cha babako ni chako siku akifa na sio wakati yupo! Kubwa jinga wewe.
Kijana wa hovyo kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]Habari zenu ndugu zangu, naombeni ushauri wenu kwenye ili naamini uku jukwaani kuna wenye ushauri bora zaidi na wenye experince na mambo mbalimbali, mimi ni kijana wa umri wa miaka 41, kwetu tumezaliwa 4 ila kwa sasa tumebaki 3 baada ya mmoja bahati mbaya kufariki miaka 6 iliyo pita, mimi ni mtoto wa tatu kwenye familia.
Baba yangu alijenga DAR ES SALAAM miaka mingi iliyo pita, sasa mwezi uliopita 12/2021 alikuja na mtazamo wake na kutueleza sisi watoto wake kuwa anataka kuuza nyumba yake hii na aende akaamie kijijini na kuchagua maisha yake yote ataishi uko.
Upande wangu nilipokea ombi lake ilo kwa furaha sana maana niliona kabisa kuwa baba akiuza ntapata pesa na mimi ya kuanzia maisha, baada ya kusema ivyo nikaingia kwenye miangaiko ya kutafuta mteja na dalali ambaye atasaidia iyo nyumba iuzwe haraka, mungu si Athumani ndani ya week mbili tu akatokea mteja akiwa anaitaka iyo nyumba kwa sh milion 245 (maana nyumba ipo eneo zuri sana).
Dalali alimleta yule mteja na kuikagua nyumba nzima na eneo na uyo mteja aliahidi kuja kufanya malipo baada ya siku 3, uwezi amini nilifurahi sana sana nilikuwa na bajeti yangu ya laki 2 na elfu 70 kwa furaha nzima iyo ela niliitumia kwa kufurahia maana nilijua kabisa nimesha kula maisha. Baada ya siku 3 kweli yule mnunuzi alikuja na kufanya malipo na kukamilisha kila kitu,
Ndugu zangu nashindwa ata kuandika vizuri, baba baada ya kupokea pesa ataki ata kunishirikisha kwa chochote, hajanipa ata sent kumi yake kwenye iyo ela, baada ya siku mbili kupita mzee akiwa kimya ikabidi nimuambie baba vipi kuhusu ela ya mauzo ya nyumba unioni mwanao na mimi nikaangalie maisha yangu mbele ya safari, baba amenijibu tu kwa wepesi kabisa eti "SAWA NENDA KAANGALIE MAISHA TU, NAKUTAKIA KILA LENYE HERI" nikamuambia baba naendaje kuangalia maisha wakati ujanipa chochote, akaniambia kwani nadai nini kwake, kwa kweli ni kauli zilizo nivunja sana moyo na kunikatisha kabisa tamaa ya kuishi.
Noambeni ushauri wenu ili fate atua za kisheria mzee aweze kunipa na mimi upande wa maali kama mtoto wake wa kumzaa, maana nina week sasaivi sina furaha kabisa na aya maisha, naombeni sana ushauri wa haraka, maana baba siwezi kumtazama ata usoni ananipa sana hasira.
Matumaini yangu nitapata ushauri mzuri na wakufanya nipate aki yangu.
Alikua na 270000ts akaitafuna ndani ya siku 3 imeisha,huyu atakuwa hana nidhamu ya fedha na mdingi ameshagundua hiloNdio.mana baba yake kamnyima ela mana anajua kazaa boga tu.
Anasema alikua na 170k akaimaliza kwa furaha, sa ukipewa 50 milion si atapata kichaa
Habari zenu ndugu zangu, naombeni ushauri wenu kwenye ili naamini uku jukwaani kuna wenye ushauri bora zaidi na wenye experince na mambo mbalimbali, mimi ni kijana wa umri wa miaka 41, kwetu tumezaliwa 4 ila kwa sasa tumebaki 3 baada ya mmoja bahati mbaya kufariki miaka 6 iliyo pita, mimi ni mtoto wa tatu kwenye familia.
Baba yangu alijenga DAR ES SALAAM miaka mingi iliyo pita, sasa mwezi uliopita 12/2021 alikuja na mtazamo wake na kutueleza sisi watoto wake kuwa anataka kuuza nyumba yake hii na aende akaamie kijijini na kuchagua maisha yake yote ataishi uko.
Upande wangu nilipokea ombi lake ilo kwa furaha sana maana niliona kabisa kuwa baba akiuza ntapata pesa na mimi ya kuanzia maisha, baada ya kusema ivyo nikaingia kwenye miangaiko ya kutafuta mteja na dalali ambaye atasaidia iyo nyumba iuzwe haraka, mungu si Athumani ndani ya week mbili tu akatokea mteja akiwa anaitaka iyo nyumba kwa sh milion 245 (maana nyumba ipo eneo zuri sana).
Dalali alimleta yule mteja na kuikagua nyumba nzima na eneo na uyo mteja aliahidi kuja kufanya malipo baada ya siku 3, uwezi amini nilifurahi sana sana nilikuwa na bajeti yangu ya laki 2 na elfu 70 kwa furaha nzima iyo ela niliitumia kwa kufurahia maana nilijua kabisa nimesha kula maisha. Baada ya siku 3 kweli yule mnunuzi alikuja na kufanya malipo na kukamilisha kila kitu,
Ndugu zangu nashindwa ata kuandika vizuri, baba baada ya kupokea pesa ataki ata kunishirikisha kwa chochote, hajanipa ata sent kumi yake kwenye iyo ela, baada ya siku mbili kupita mzee akiwa kimya ikabidi nimuambie baba vipi kuhusu ela ya mauzo ya nyumba unioni mwanao na mimi nikaangalie maisha yangu mbele ya safari, baba amenijibu tu kwa wepesi kabisa eti "SAWA NENDA KAANGALIE MAISHA TU, NAKUTAKIA KILA LENYE HERI" nikamuambia baba naendaje kuangalia maisha wakati ujanipa chochote, akaniambia kwani nadai nini kwake, kwa kweli ni kauli zilizo nivunja sana moyo na kunikatisha kabisa tamaa ya kuishi.
Noambeni ushauri wenu ili fate atua za kisheria mzee aweze kunipa na mimi upande wa maali kama mtoto wake wa kumzaa, maana nina week sasaivi sina furaha kabisa na aya maisha, naombeni sana ushauri wa haraka, maana baba siwezi kumtazama ata usoni ananipa sana hasira.
Matumaini yangu nitapata ushauri mzuri na wakufanya nipate aki yangu.
JAMAA KAMA WEWE MKO WENGI SANA TANZANIA NI DISASTER KUBWA!!!!!!!!!!!Habari zenu ndugu zangu, naombeni ushauri wenu kwenye ili naamini uku jukwaani kuna wenye ushauri bora zaidi na wenye experince na mambo mbalimbali, mimi ni kijana wa umri wa miaka 41, kwetu tumezaliwa 4 ila kwa sasa tumebaki 3 baada ya mmoja bahati mbaya kufariki miaka 6 iliyo pita, mimi ni mtoto wa tatu kwenye familia.
Baba yangu alijenga DAR ES SALAAM miaka mingi iliyo pita, sasa mwezi uliopita 12/2021 alikuja na mtazamo wake na kutueleza sisi watoto wake kuwa anataka kuuza nyumba yake hii na aende akaamie kijijini na kuchagua maisha yake yote ataishi uko.
Upande wangu nilipokea ombi lake ilo kwa furaha sana maana niliona kabisa kuwa baba akiuza ntapata pesa na mimi ya kuanzia maisha, baada ya kusema ivyo nikaingia kwenye miangaiko ya kutafuta mteja na dalali ambaye atasaidia iyo nyumba iuzwe haraka, mungu si Athumani ndani ya week mbili tu akatokea mteja akiwa anaitaka iyo nyumba kwa sh milion 245 (maana nyumba ipo eneo zuri sana).
Dalali alimleta yule mteja na kuikagua nyumba nzima na eneo na uyo mteja aliahidi kuja kufanya malipo baada ya siku 3, uwezi amini nilifurahi sana sana nilikuwa na bajeti yangu ya laki 2 na elfu 70 kwa furaha nzima iyo ela niliitumia kwa kufurahia maana nilijua kabisa nimesha kula maisha. Baada ya siku 3 kweli yule mnunuzi alikuja na kufanya malipo na kukamilisha kila kitu,
Ndugu zangu nashindwa ata kuandika vizuri, baba baada ya kupokea pesa ataki ata kunishirikisha kwa chochote, hajanipa ata sent kumi yake kwenye iyo ela, baada ya siku mbili kupita mzee akiwa kimya ikabidi nimuambie baba vipi kuhusu ela ya mauzo ya nyumba unioni mwanao na mimi nikaangalie maisha yangu mbele ya safari, baba amenijibu tu kwa wepesi kabisa eti "SAWA NENDA KAANGALIE MAISHA TU, NAKUTAKIA KILA LENYE HERI" nikamuambia baba naendaje kuangalia maisha wakati ujanipa chochote, akaniambia kwani nadai nini kwake, kwa kweli ni kauli zilizo nivunja sana moyo na kunikatisha kabisa tamaa ya kuishi.
Noambeni ushauri wenu ili fate atua za kisheria mzee aweze kunipa na mimi upande wa maali kama mtoto wake wa kumzaa, maana nina week sasaivi sina furaha kabisa na aya maisha, naombeni sana ushauri wa haraka, maana baba siwezi kumtazama ata usoni ananipa sana hasira.
Matumaini yangu nitapata ushauri mzuri na wakufanya nipate aki yangu.
Uendako hupajui. Vipi akakupiga kipapai au Ulemavu mwingine utakaokufanya usiweze kumdhuru lakini hajakuua.sasa mzee akiniwahi sii he has just put me out of my misery what more can one ask for? mara 100 niwe katika ulimwengu wa wafu kuliko kuwa hapa duniani nateseka knowing full well my own father has failed to help me. mtu ambaye mwenyewe kwa tamaa zake za kugegegda na kuwa na mtoto ndio nimekuja hapa duniani.
bwana sikiliza hapa sio kwamba huyu mtoto wake ameonyesha tamaa ya mali. anachohitaji yeye ni msaada wa kifedha thats all. angekuwa ana tamaa na mali mbona angekuwa kashamdedisha baba yake long time.