Msaada: Baba yangu mzazi ameuza nyumba yake na hataki kunipatia pesa japo kidogo

Una umri gani? Kama mzee wako amekusomesha na kukujengea misingi mizuri na umefika umri wa kujitegemea ni aibu kudai hela ya mauzo ya nyumba ambayo sio yako

Sio vibaya mzee kukupatia sehemu ya pesa lakini sio lazima pia, ni maamuzi yake na huna cha kumfanya

Pambana utafute vya kwako achana na visivyokuhusu
 
Hivi kumbe watu msio na akili mko wengi hivi. Kama alikupa ahadi ya hela ya udalali sawa. Lakini huwezi kudai pesa ya baba kwa kuuza mali yake. Wewe utakachokuja kudai ni urithi tu mzee akifa lakini sio akiwa hai
 
Hivi kumbe watu msio na akili mko wengi hivi. Kama alikupa ahadi ya hela ya udalali sawa. Lakini huwezi kudai pesa ya baba kwa kuuza mali yake. Wewe utakachokuja kudai ni urithi tu mzee akifa lakini sio akiwa hai
Kwa mantiki hiyo Jamaa anaona mzee hafi upesi, na kwa hiyo anataka amuwahishe mzee(Amuue) ili apate huo uhalali wa kudai urithi.
Very lunatic guy.
 
tafuta vyako mkuu,hata ss wenginehatukukuta chochote kwa wezee wetu ,tumekomaa wenyewe Hadi tukapata !!, Usideke ,tafuta maisha .miaka 41 bado unamda pambana upate mji wako na maisha yako!!
 
Jenga ya kwako uza halafu nawe usimpe hata senti tano huyo baako, miaka 41 ni kijana? acha upumbaf.
 
Inauma sana kukuta mzee karudi kijijini, ela anatumia kwa pombe kuwanunulia wezake
 
Angekuuza wewe halafu asikupe hata ya fegi....baba yako angekuwa katili sana
 
Hapo huna si lazima mzee akupe ela, ni mali yake alitafuta kwa jasho lake ,

Labda nikupe tu ushauri tafuta mwanamke mzuri kabisa , anza kumpanga na amfuate mzee wako najua mzee anaweza kushawishika maana sisi wanaume kwa wanawake hatuna ujanja, tumia hiyo nafasi labda ukapata chochote[emoji3][emoji3]
 
Ndio pesa lazima itoke kwa ndugu....mchuma janga ulanna wa kwao bwana huwezi kuanza kuomba msaada kwa watu baki unaanza kwanza kwa ndugu. Marafiki ni wakula nao bata but never depend on them when shit hits the fan.

Baba mzazi tena ampigi kipapai mtoto wake huyo ndio anadhihitisha kabisa hafai kuwa mzazi.

Na huyu jamaa kwanza hakusema anataka kumuua mzazi wake yeye aliomba ushauri mie ndio nikatia huo ushauri.

Kwa wakati huu msaada unaohitajika ni wakkfedha ndio maana jamaa anashangaa kwa nini mzee ana mamillion ya pesa alafu anashindwa kumsaidi mwanetu
 
Tafuta vyake kwani babako alipewa nn na babake mpaka kununua hicho kiwanja na kujenga nyumba?
Mmezidi kuwa tegemezi vijana wa dar
 
Msaada wa kifedha ili aufanyie nini? Alisema aliandaa ka-bajeti. Lakini hakusema bajeti ya Mradi/Shughuli gani. Watu aina hii ni hatari kwani akipata fedha cha kwanza ataenda kula bata na marafiki zake. Kosa la baba yake hapo ni kwamba alichelea kumtimua hapo nyumbani hadi amekuwa jibaba zima la 41 yrs.(Kijana wa zamani). Huyo mtu mzima by definition huyo ni kishoiya kabisa. Yaani Hata kazi ya kuchunga mbuzi inamshinda? Eti anataka baba yake ampe fedha kwa kazi ya kushinda hapo nyumbani miaka 41.!!!! Labda wewe Mshauri aje huku Umasaini kuna kazi tele za kuchota maji(dumu 1 (20ltrs)= 500/=) kufyatua tofali za udongo (ikiwa mbichi 1= 30/=) Kuchunga mbuzi mwezi 1 =50,000/= (unalala na kula hapo-hapo kwa tajiri) Kilimo (Kupalilia mashamba) ni kwa maelewano, Ulinzi wa nyumba (kwa maelewano na mwenye nyumba) n.k. Amwache baba yake amalizie salio lake.
 
Yes yes ashe naaale tukulu
 
Halafu Akimgeuza kuwa ni mama yako mdogo- imekula kwako.
 
Aiseee we ni hasara..
Umemshauri mzee ujinga,umepoteza makazi sasa..
 
Kwanza wewe sio mtoto tena. Ni baba. Miaka 41 ni baba mwenye watoto hata 5. Baba yako kauza mali zake kwa raha zake. Wewe tafuta zako ujenge uuze. Amekulea ukafikisha miaka 18 inatosha. Acha akili mgando
 
NAposema kwamba baba mzazi amsaidie kifedha pia busara itumike...lazima mtoto nae aonyeshe nini anataka kufanya but u dnt outright abandon ur child!
 
Wewe acha upumbavu!!hadi sasa unategemea Mali ya baba?? Natamani nikizabe kibao mjinga wewe!!!usilete upuuzi wako jukwaani humu tena!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…