Msaada: Baba yangu mzazi ameuza nyumba yake na hataki kunipatia pesa japo kidogo

Polee sana MH.. nasisitiza pole tena sana MH.. na hapa hauwezi kupata ushauri wowote ulee.. piga moyo konde tafuta site kapige kazi MH..
 
Avhana naye chapa kapa.
Pasa itaisha hio na atarudi kwako lazima na usilipe kisasi
 
Miaka 41 bado unalialia kwa baba yako..!!! Ungekuwa umekufa ungelilia hela zisizokuhusu? Au kuwa kwako wa mwisho ndo unaleta kudeka at the age of 41 years? Yaani mzee wako kakujibu sawa na vizuri kabisa.. WE NENDA KAANGALIE MAISHA MBELE.. Kajenge yako na wewe uje uuze 250M.
 

"YAKE" - sasa unataka nini?
 
[emoji3][emoji3][emoji3] kwani nyumba ni yako au mlijenga pamoja?
 
Hili ni tatizo kwa Vijana wengi wa mjini ambao wazazi wao wananyumba hapa utakuta mtoto yupo yupo tu hajishughulishi na kitu chochote kwa ajili yake ya baadae anamtegemea mzee kisa mzee anayumba atarithi mwisho wa siku Ndio ivo
 
Mhm bwana wazazi roho mbya kama hao nikuwaua tuu hamna namna
Chunga sana ushauri wako rafiki! Usifanye mzaha kwenye Mambo serious nakusihi! Utamponza mzee wa watu! Mtoa mada hayupo sawa kiakili na hili linajidhihirisha wazi kwa mada yake na bado unampitishia wazo la kuua huuoni Kama kuna hatari hapo?
 
Wew jamaa ni Pimbi..wenzio tulizaliwa 36 jion ikifka mdingi alikua anatikusanya nakumbuka sana wakati wa kula alikua anapenda tule pamoja sufulia moja watoto 6.kwa rika yetu. Ilikua baada ya kula msosi lazma akae na bakora ambae atalalamika hajashiba..ilikua kipgo!! Tulikulia mxhakamchaka sana. Nakumbuka mdingi mchango wake jioni ilikua lazma atupe kibuyu cha maziwa..ya mgando...kunywa kijeshi jeshi..mda wote alituimbia kila mmoja..atafute vyake..kwetu mdingi msada wake ni watoto 6 wakubwa kw kuwapa ngombe wa kuolea basi. Wengine alisema mtajiju na kaka zenu.
Mdingi alikuja kufa akiacha ngombe 4..watoto 34..je tungegawanaje? Mbinu ilikua ni kupambana kw mana ya Survival of the fittest. Hivi kila mmoja amesmama imara na maisha yake. Wewe unalilia humu na 41yrs?
 

 
kikoozi Hivi hadi Leo hujaacha tu bifu na mzee wako[emoji23][emoji23][emoji23] halafu si uhame hapo kwenu tangu kitambo unamlalamikia dingi ako hakujali,kwa sababu ashakuona mzigo
 
nyumba ni yetu, maana nimezaliwa hapo hapo
Kaangalie hati inajina la nani....ndio useme yetu

Mzazi kutoa urithi..au kukupa kitu ni uamuzi wake binasfi...
Una miaka 41 huoni aibu....hunashughuli ya kufanya ..huo umri ilibdi uwe mbali sana....

Inawezekana baba yako haona ni kati ya wale watoto ambao alizaa lkn hawana maana kwake....ht akikupa hiyo pesa ni wastage..mlevi..huna malengo


MALI YA BABA YAKO NI YAKE...SIO YENU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…