Msaada: Baba yangu mzazi ameuza nyumba yake na hataki kunipatia pesa japo kidogo

Ukweli ni kwamba baba yako anayo haki ya kutokukupa chochote. Sheria inampa jukumu mzazi la kumuhudumia mtoto. Na mtoto anayetambulika na sheria ya mtoto ni mtu mwenye umri chini ya miaka 18. Ukishavuka umri wa mtoto basi sheria na tamaduni zetu zinakutaka wewe umuhudumie mzazi wako ikiwa ni pamoja na kumlinda. Hivyo basi, ndugu Kihoozi, hakikisha hizi fedha baba yako anazitumia bila kuingiliwa na mtu yeyote.
 
Ni mali ya baba yangu ila mimi ni mtoto wa wake kabisa kabisa wa kumzaa
Sheria inasemaje?.Ukishafikia miaka 18, inatakiwa ujitegemee, Mzee wako alishakuzaa,akakulea hadi umekuwa mtu mzima; Hiyo nyumba alitafuta baba yako,na wewe Tafuta ya kwako uiuze kwa bei nzuri.Kuhusu kukugawia pesa ni matakwa yake kukupa au kukunyima, maana wewe ni mtu mzima tayari.Wewe sio Mwanafunzi Kwamba unasoma.Mwache Mzee ale Pesa yake bila presha.
 
Skia embu niambie kwanza unashabikia timu gani, mwanachama wa chama gani. Kama ni Simba alafu chama lako ni ccm naomba uanze safari kuelekea Dodoma{Mirembe} sasahivi
Acha ujinga wewe,Sasa Simba inaingiaje hapa??.
 
Wewe jamaa! Utakuwa hazikutoshi. Hya nakushauri nenda ukamshtaki,takupa japo milioni 50
 
Tulishalijadili sana suala hili humu hadi tukapata suluhisho.

Nyumba ni yake hajasaidiana na mtu kujenga.

Kilio hiki kilistahili kitoke kwa mkewe(mamako mzazi).

Vinginevyo kukupatia wewe pesa za mgao ni hisani na wala siyo sheria.

Chacharika utafute pesa umtunze yeye babako, usitafute kisingizio cha kuanza kukwepa majukumu!
 
Muombe na m'bembeleze babako akukatie, kwa umri wako wa miaka 41 huna haki yoyote maana ameamua kuuza mali yake. Kama ungekuwa na umri wa chini ya miaka 18 ungeweza kwenda kwenye vyombo vya kisheria maana ni umri tegemezi.

Vv
 
nyumba ni yetu, maana nimezaliwa hapo hapo
Wakati umekua na umemaliza shule kama ulisoma, ulisaidia nini kwenye ukarabati wanyumba au je uliweza kutanua na kuongeza chumba chako?

Je baba yako kakupa elimu? Kama umesoma huo ndo urithi wako. Kama hujasoma jiunge veta upate ujuzi. We huna haki mama yako ndo ana haki ya kuuliza chochote soyo wewe.
 
Sawa lakini mzeya anazingua awape hao watoto watatu 45milon wakafue mbele yeye na ,ile 200 akatulie shamba anapotaka

41 years mkuu na bado unamtetea. Tena mtoto wa 3. je huyo baba atakuwa na umri gani. Mbaya zaidi Kasema alikuwa na hela kaenda burudikia. Do you see any responsible adult kwenye haya maelezo.
 
Mteke tu huyo Mzee akupe chako q Mungu atakusamehe
 
Hii dunia ina mataahira wengi sana na hawatakaa waishe
Yaan babako kauza nyumba yake wewe unataka mgao? Ni ya kwako? Ulimsaidia kujenga?
Acha upumbavu urithi pekee mtoto anapaswa kupata kwa mzazi ni elimu tu mengine unajitafutia mwenyewe
Je asingekuwa na hiyo nyumba? Acha utaahira mbwa wewe
 
Ujinga wako ungekuwa hata 80% ishirin zilizobaki zingekusaidia ukaona hata aibu kuleta hapa huo ujinga wako, miaka 40 unalilia kwa baba ni ujinga wa 100%, baba alikupa jibu sahih kabisa kukutakia kila lakheri safar yako ya maisha ila kwa kuwa hamnazo kichwan ndo sabb hukumwelewa. Hiyo nyumba babaako ulimsaidia kujenga? Au je hata yeye kwan alisaidiw chochote hata kidogo na wazaz wake ndipo akajenga hiyo nyumba? Matahira km wew hii nchi ndo ikitokea kupewa uongozi ndo km akina ndugai anashindwa kuidhibiti serikal akiwa bungeni badala yake anenda kuongea mitaan eti serikal imezid kukopa hali ya kuwa ye ndo kiongozi wa kudhibit serikali ktk matumiz na mapato, juha wew
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…