Msaada: Baba yangu mzazi ameuza nyumba yake na hataki kunipatia pesa japo kidogo

Baba yako amenambia amepata pia wateja wa kununua Figo zako..
Baada ya siku tatu wanakuja kukutoa Figo zako..maana amegundua huna msaada..
 
[emoji2][emoji2]huwa nacheka sana thread za jamaa na dingi ake ,alipoteaga hapa Jf
Hahahaha huyu jamaa chenga sana na mshua wake.

Mwengine ninayetamani nijue vita yake na mjomba wake iliishia wapi ni Daktari wa Meno
 
Mtu mzima ovy o miaka 41 mzee wako anastahili kukuuza hata wewe
 
Aisee wewe mpumbavu sana kwani ulimsaidia kujenga

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Walahi!! Hata sisi wa miaka hiyo bado ni vijana? Naamini kweli Polepole bado ni kijana.

Naomba Mungu asinipe watoto kama wewe. Unaweza hata kumdhuru babako kwa pesa zake mwenyewe. Babako alikwambia alijenga baada ya kupewa pesa na babake?

Kama dogo wa chuga kumuua mama
 
Miaka 41 hauna pesa, hauna kwwko, hauna kazi, hauna mke, hauna mtoto unataka pesa za kazi gani mzee?
Mie nilichoona ni kuwa mzee wako kaona ni ngumu kukuondoa kwake akaona auze nyumba tu.
Ushauri wangu ni kuwa nenda na baba yako kijijini.
 
Umetumia Tsh. 270,000/= kufurahia pesa ambayo hujui kama utaipata! Hapa umechemka.
Kama Mama yako yupo mshirikishe,au mtu wa karibu anayeheshimiana na mzee,hii itakusaidia kusikilizwa na mzee,pesa nyingi za hivyo utafunwaga na vibinti vibichi ambavyo wazee huvipapatikia,ikiwa hv utalia sana,na uzi mwingine utakuja kuuanzisha[emoji38][emoji38][emoji38] (jokes)
 
Kwa hizo tabia baba yenu amefanya jambo jema alishaona shida itayowapata kama angetangulia na akawachia hiyo nyumba mwacheni ale jasho lake

 
Ushauri wangu mimi nakuita bwege, kwanza miaka arobaini kujiita kijana unayesubiri kugawiwa hela babako.
Ndo maana babako kaamua kuuza nyumba kwa sababu ameona hujitambui. Nyie ndo mnashinda mnabeti mkisubiri urithi. Babako kauza mali yake nawe tafuta ya kwako. Mwisho utama babako kwa akili yako hiyo ya kuvukia barabara
 

Tafuta kitu kizito au chochote chenye incha Kali.
Mfate umueleze kwa nn hataki kukupa pesa.?

Nakuhakikishia atakupa pesa hata Kama ni usiku wa manane. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
41 years mkuu na bado unamtetea. Tena mtoto wa 3. je huyo baba atakuwa na umri gani. Mbaya zaidi Kasema alikuwa na hela kaenda burudikia. Do you see any responsible adult kwenye haya maelezo.
This dad is just plain evil....and he ahould be dealt with accordingly. Irresponsible or not, 41 yrs young or old, thrird born or last born is irrelevant. Huyu baba ni muhuni sasa kijanaa anatakiwa ampeleke mbele za haki mapema iwezekanavyo. Society doesnt need such kind of fathers.
 
Chunga sana ushauri wako rafiki! Usifanye mzaha kwenye Mambo serious nakusihi! Utamponza mzee wa watu! Mtoa mada hayupo sawa kiakili na hili linajidhihirisha wazi kwa mada yake na bado unampitishia wazo la kuua huuoni Kama kuna hatari hapo?
Well akiuwawa huyo mzee atakuwa amejitakia mwenyewe kwa roho mbaya yake.
Yaani kweli mtoto wako mwenyewe anashindwa ata kumuachia 15mil. Hapana aise this is too much.
 
Kumbe ameuza nyumba yake. Sasa hapo shida iko wapi !? Hebu tafuta hela nawe ujenge ya kwako. Hivi kila mtu akitegemea nyumba ya kujengwa na mzazi itakuwaje !!?? Na kwa umri ulionao ni aibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…