Msaada: Baba yangu mzazi ameuza nyumba yake na hataki kunipatia pesa japo kidogo

Kumbe kauza nyumba YAKE, nilidhani YAKO.
 
Nunua PANGA, ukishalinunua njoo tukupe ushauri ulitumiaje kupata hela
 
Aiseee pole kwa hayo unayopitia mkuu ila ningependa kufahamu, je watoto wote hamjapewa hata senti au ni wewe tu pekee haujapata pesa??
 
Kuna fyuzi haiko sawa hapa wakuu..mnapoteza muda tuu
 
We jamaa vipi, mi mzee wangu kauza mali yake juzijuzi tu milion 500, hata mia mbovu sijapata 😂😂, tutafute zetu tu aisee
 
Kama ulichokiandika ni kweli naomba nikuambie yafuatayo

Mosi,wewe ni mtu mzima sana...ina maana b4 mzee hajaamua kukushirikisha kuwa anataka kuuza nyumba ulikuwa huna plan zozote?ulikuwa unasubiri afe ndo urithi mali au?

Pili,mzee yupo sahihi,hudai chochote kwake...narudia,hudai chochote kwake..katafute vya kwako na ww uone kama unaweza kumgawia mtoto wako kiulain lain tu

Tatu,usihangaike kwenda sijui kwenye mkondo wa sheria...hutaambulia chochote zaidi ya kupoteza mda na pesa

MWISHO Tafuta vyako....ebo!!

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Aaargh! Come on! Please Don't instigate this Old Boy. At the mentioned age, actually he(The boy/man) should be independent , living his own life.
Ushauri wako kwa kijana huyo wa zamani (mzee) huyo sio muafaka kabisa.
 
Aaargh! Come on! Please Don't instigate this Old Boy. At the mentioned age, actually he(The boy/man) should be independent , living his own life.
Ushauri wako kwa kijana huyo wa zamani (mzee) huyo sio muafaka kabisa.
It is the sile reaponsibility of the parent to ensure kuwa mtoto anajitegemea. Listen as humans we plan and in planning u shuld always hope for the best and prepare for the worse. Kuna wazazi wengintuu watotot wao wamewasomesha lakini mpaka leo wapo majumbani. It is not to thier liking hao watoto kuwepo hapa but ndio wat we call life.

Now in time of need a parent should not abadon their child instead parent should offer moral support and kama kweli upo finacially able u shuld help ur child out if need be. Mtoto mwenyewe akiona kwamba mzazi anaonyesha genuine comcern kuhusuana na situation yake ata appreciate. Any parent ambaye ana uwezo but ana mu abadon mtoto wake yeye mwenyewe, huyo ni pure evil and deserves to die in my opinnion.
 
mwache Mzee ale bata acha kumpigia kelele...kifupi usimtingishe..
 
Wewe ni fyatu mwenzake.Na kingereza chako Cha Katerero [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Baba yenu kawaona hamna akili yakuendeleza mali atakazoziacha akaona ni heri ale vitu vyake mapema. Umenishangaza sana kusema wewe ndo uliyetafuta dalali, kijana mwenye akili njema asingemruhusu mzee wake kuuza nyumba(asset) angemwambia nitakujengea nyingine kijijini
 
Samahani mkuu, wewe sio MTANESKO?
 
Mzee mjanja sana , kaona auze ili walau afaidi jasho lake kuliko ajifie na makorona korona haya aache nyumba yake iuzwe na nyie mamburula na muishie kutapanya. Mpaka hapo mzee kashawasoma nyie wote kaona hizo mali potelea mbali bora afaidi faidi mwenyewe kuliko kuwaachia nyie msiojielewa, eti kijana wa miaka 41 [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…