Msaada: Biashara unayoweza kufanya kwa mtaji wa Tsh. Milioni 20

UTT mbona ndo ujinga kabisa milioni izalishe 100,000 kwa mwaka
 
Mkuu kwa 20m unapata eneo la 3m huko chaka unajenga kajumba kenye mapokezi na sero hakatamaliza 10m alafu unaajiri askari 2 unawalipa 300k kila mmoja mdogo mdogo unatafuta na vibaka wawili utarudisha hela yako ndani ya muda mfupi na ww unakua mkuu wa kituo unavimba mjini. Pesa yako itarudi na faida hadi utanikumbuka
 
Microfinance mkuu.. hapo utapiga hela, na management ni rahisi
 
Fungua genge uza mboga mboga na matunda

Unauliza maswali ya kijinga kwa milion 20 ni biashara nying sana unaweza fanya ila pia km umeweza kupata milion20 unakosaje mawazo ya biashara au iyo million20 ni pesa ya urithi au umeshinda biko

Kuna maswali na ushauri wingne mnaomba ila mnaonekana ni wapumbavu tena wapumbavu sana

Iv kwel kuna biashara ambayo haina strees mi sjawai ona iyo kla biashara ina stress kla biashara ina changamoto zake ni idadi na wing wa changamoto na stress ndo utofautiana ila kla biashara ina stress na inachangamoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…