Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Am living ma lifelalala lelele aleleleee
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nikupeleke ngarenaroo ayaa oyaaa...ni hivyo tu
Kwahiyo kufanya ngoma na emtee ndo kutoboa? Mbona hata Joh Makini kafanya ngoma na Davido lakini kama hakijatokea kitu[emoji3]?Kuna wasanii wanakua wanasikilizwa ndani kuliko nje na wenyewe wanakua wameridhika mfano Juma Nature, Lady Jay Dee na mwingine ndo huyu Dogo Janja.
Dogo Janja ni mkongwe kwa Rosa Lee lakini Rosa Lee kashafanya ngoma na Emtee na ninaamini bado anasonga.
Hoja yangu ni juu ya focus ya mhusika juu ya muziki wake siyo kutoboa joh makini kufanya muziki na davido inamaanisha anafocus same kwa rosa lee.Kwahiyo kufanya ngoma na emtee ndo kutoboa? Mbona hata Joh Makini kafanya ngoma na Davido lakini kama hakijatokea kitu[emoji3]?
Nimeona watanzania wengi kwasasa wana matatizo ya uandishi. Na mpaka ifike mwaka 3000 lugha ya Kiswahili itapoteza hadhi.Anaimba mziki ambao ni wa kukuburudisha tu siyo wa kukuelimisha wala wa kukufanya utafakari ni mziki wa kukuburudisha tu huhitaji kuelewa sana anachoimba.
Personally toka amechange kidebe, ngarenaro, na ule mwingine jina limenitoka dogo namuelewa sana...
Kwa namna ulivyoandika haya maneno, inaonekana wazi kabisa wewe unamwonea wivu Dogo Janja baada ya kumuoa Irene Uwoya. Huna lolote kujifanya huelewi muziki wake, kauli zako zinaficha mengi.Huyu mwanamuziki nimetokea kumfahamu pale alipofunga ndoa na binti mrembo Irene Uwoya, sasa nikaanza kusikiliza nyimbo zake.
Asante kwa masahihisho japo ninajua kuwa linaandikwa hivyo ila ni kufupisha tu maana wengine tunakuwa na haraka ya kumaliza kuandika.Nimeona watanzania wengi kwasasa wana matatizo ya uandishi. Na mpaka ifike mwaka 3000 lugha ya Kiswahili itapoteza hadhi.
Mziki-muziki (Ndilo neno sahihi)
[emoji87]Na anajisifu jinsi anavyopewaga MAMBO YA UANI! 😱