Msaada: Dogo janja anaimbaga nini? Sijawahi kumuelewa

Msaada: Dogo janja anaimbaga nini? Sijawahi kumuelewa

Tukumbushane anachoimba Janjaro
 
Kuna wasanii wanakua wanasikilizwa ndani kuliko nje na wenyewe wanakua wameridhika mfano Juma Nature, Lady Jay Dee na mwingine ndo huyu Dogo Janja.
Dogo Janja ni mkongwe kwa Rosa Lee lakini Rosa Lee kashafanya ngoma na Emtee na ninaamini bado anasonga.
 
Kwahiyo kufanya ngoma na emtee ndo kutoboa? Mbona hata Joh Makini kafanya ngoma na Davido lakini kama hakijatokea kitu[emoji3]?
 
Kwahiyo kufanya ngoma na emtee ndo kutoboa? Mbona hata Joh Makini kafanya ngoma na Davido lakini kama hakijatokea kitu[emoji3]?
Hoja yangu ni juu ya focus ya mhusika juu ya muziki wake siyo kutoboa joh makini kufanya muziki na davido inamaanisha anafocus same kwa rosa lee.
joh ni mkongwe rosa lee ni underground lakini tayari kashacollabo na emtee na mkongwe dogo janja bado anatoa wimbo anauliza ukivaaje unapendeza.
 
Anaimba mziki ambao ni wa kukuburudisha tu siyo wa kukuelimisha wala wa kukufanya utafakari ni mziki wa kukuburudisha tu huhitaji kuelewa sana anachoimba.
Personally toka amechange kidebe, ngarenaro, na ule mwingine jina limenitoka dogo namuelewa sana...
Nimeona watanzania wengi kwasasa wana matatizo ya uandishi. Na mpaka ifike mwaka 3000 lugha ya Kiswahili itapoteza hadhi.
Mziki-muziki (Ndilo neno sahihi)
 
Huyu mwanamuziki nimetokea kumfahamu pale alipofunga ndoa na binti mrembo Irene Uwoya, sasa nikaanza kusikiliza nyimbo zake.
Kwa namna ulivyoandika haya maneno, inaonekana wazi kabisa wewe unamwonea wivu Dogo Janja baada ya kumuoa Irene Uwoya. Huna lolote kujifanya huelewi muziki wake, kauli zako zinaficha mengi.
 
wimbo wake pekee niliowahi kuwa nao kwa device ni "anajua" ule Tundaman anapiga chorus, toka miaka hiyo wimbo wake mwingine ambao nahisi ipo siki nitaidownload ni "ngarenalo" japo siuelewi ila nikiusikia mitaani huwa navutiwa kuusikiliza zaidi.
 
Nimeona watanzania wengi kwasasa wana matatizo ya uandishi. Na mpaka ifike mwaka 3000 lugha ya Kiswahili itapoteza hadhi.
Mziki-muziki (Ndilo neno sahihi)
Asante kwa masahihisho japo ninajua kuwa linaandikwa hivyo ila ni kufupisha tu maana wengine tunakuwa na haraka ya kumaliza kuandika.
Ila pia lugha inabadirika kutokana na muda ndiyo maana hata Kingereza utaskia kuna Old English, Middle English na New English maneno mengine yakatupwa mengine yakabadirika spelling ndiyo mabadiriko ya lugha hayo.
 
Mzimu wa NDIKU unawatafuna polepolw
 
Back
Top Bottom