Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Watoto wa nje ya ndoa wanarithi kama wanatambulika ....Either waliandikwa kweny wosia au aliwatambulisha na wanajulika.Nashkuru kuzaliwa Muislamu
Yani in islamic perspective ni suala dogo sana hilo
Watoto wa nje ya ndoa hawarithi kitu labda baba yao awape yy mwenyewe akiwa hai
Uzinzi haujawahi kumuacha mtu Salama
Hata mm najiuliza hapa kumbe kuna brand mpya ya Toyota inaitwa ICTKunae brand mpya za magari na hatupeani taarifa wazee..
Msiba ulishaisha mkuu issue ni malezi ya hao watoto wa njeWanaenda kumuaga na kumsindikiza mzazi wao kwenye safari ya mwisho duniani. Why wasiende kwenye Msiba wa mzazi wao?
Huu ubinafsi umezidi sasa
Solution ni kuacha uzinzi tu!Hapa ndiyo utaona tofauti ya sheria za kidini na serikali, mtoto wa nje ana haki ya kurithi mali ya baba yake ili mradi tu ajulikane ni mtoto wa marehemu! Na siyo mpaka D.N.A kikao cha ndugu kikiridhia tu inatosha!
Lengo ni kuwalinda hawa watoto kwani hawana hatia yoyote!
Halafu mtu anakuambia sheria za kidini katunga Mungu!
Ikitumika busara na roho nzuri basi hao watoto watakuwa watasoma na wataenjoy life cha msingi huyo mchepuko awe mpole alishindwa kusoma ramani akajua ashike wapi mapema. Na fundisho kwa sisi wanaume bahati mbaya zipo ila kuweka mambo sawa ni muhimu sanaHabari wa jf,
Kuna msiba wa ndugu mmoja jirani hapa. Sasa siku ya msiba walikuja watoto 2 wanaumri wa miaka 5 na mama yao wanafanana sana na watoto mapacha wa kiume aliyozaa na mkewe wake ambao wanaumri wa miaka 6.
Inamaana jamaa alizaa nje watoto wamefanana na Baba yao ukiwaona ni kama watoto 2 wa ndani ya ndoa aliyezaa na mkewe.
Mkewe marehemu ajui nini cha kufanya hapo msiba ushaisha mpk sasa.
Familia wanajua hao watoto wanaitajika kutuzwa na kuishi.
Marehemu kaacha nyumba moja anayokuwa anaishi na mkewe na gari moja Toyota ICT na duka la madawa ya binadamu aliyokuwa anasimia mkewe pesa za benk sijajua.
Sasa familia imeingia na kiwewe kuhusu hawa watoto 2 wa nje maana ni watoto wa ndugu yao kabisa.
Kuna mtu mmoja amesema kama mama wa hao watoto anatafuta kusaidiwa malezi ya watoto aende ustawi wa jamii au akafungue shauri mahakamani, sasa inawezekana hio kweli.
Vipi kuhusu hapo watoto nani awapokee na ni nani awaudumie?
Mke wa marehemu yeye anakazi yake japo ni ya kawaida.
Msaada jamani.
Watoto wote ni sawa. Kiubinadam lakini.Hakuna watoto wa nje ya ndoa mkuu kwa mujibu wa sheria za nchi. Watoto wote ni sawa
Wapi kataja uislam?Solution ni kuacha uzinzi tu!
Muumba wa Waislamu ana akili kuliko wewe unaejiona una maarifa zaidi.
Word...Mbona hakuna mjadala hapo wote ni watoto wa marehemu. Kama wakiamua kagawa mali wanazo haki zote ni suala la familia.
Kuhusu malezi ya watotobado watakuwa chini ya mama yao(wako under 18). Isipokuwa kama mke wa marehemu ataridhia kuwalea wote kwa pamoja.
Hahahahaaa aisee kuna watu wachokozi[emoji23][emoji23][emoji23]Kunae brand mpya za magari na hatupeani taarifa wazee..
AsanteKwamba watoto wamejizaa?? Akili zako hazina akili
Waislamu hatuangalii wosia bali tunaangalia sheria za dini zinasemaje hlf ndo wosia na huo wosia una kipimo chake piaWatoto wa nje ya ndoa wanarithi kama wanatambulika ....Either waliandikwa kweny wosia au aliwatambulisha na wanajulika.
Kutokana na mazingira hayo ya mtoa mada wana haki ya kurithi kwa vile kuna uthibitisho wa kisheria hata DNA tu.
Labda useme ubaya wa uzinzi jamaa kaona asiwatambulishe ....Ndio maana hata ukizaa nje ya ndoa bora useme mapema.
Mkizaa nje watambulishen watoto mapema wajulikane sio wanajulikana siku ya msibaWanaenda kumuaga na kumsindikiza mzazi wao kwenye safari ya mwisho duniani. Why wasiende kwenye Msiba wa mzazi wao?
Huu ubinafsi umezidi sasa
Usibabaishwe na sheria za dini, bado wanaotafasiri ni binadamu kama wewe wana hisia, matakwa, vinyongo, hasira, jazba, wivu, roho mbaya, fitina, chuki,n.kWaislamu hatuangalii wosia bali tunaangalia sheria za dini zinasemaje
Nakazia, ukiwa na akili timamuNdo muone jinsi uzinzi ulivowaajabu na hayo ndo matokeo yake
Kama ww ni binadamu mwenye akili timamu haswaa huwezi zaa nje ya ndoa yako mana mwisho wa siku ndo kama hivi watoto wanateseka
😅😅Mtoto wa nje akithibitishwa kwa wosia, kauli ya baba akikubali kuwa ni mwanae au sheria nyingine hata DNA anayo haki ya kurithi katika uislamu.Waislamu hatuangalii wosia bali tunaangalia sheria za dini zinasemaje hlf ndo wosia na huo wosia una kipimo chake pia
Wewe ndiyo wa kutafuta elimu ya jinsi ya kuongea kwenye hadhara, huwezi kuunganisha wazazi tena wamekufa kwenye mambo ya kipumbavu. Hongera umeshinda.Tafuta elimu
Wazazi wako wamezaa mtoto mpumbavu haelewi na mkurupukaji .Wewe ndiyo wa kutafuta elimu ya jinsi ya kuongea kwenye hadhara, huwezi kuunganisha wazazi tena wamekufa kwenye mambo ya kipumbavu. Hongera umeshinda.