cold water
JF-Expert Member
- Oct 6, 2021
- 238
- 954
Poleni na kazi, nahitaji lotion inayonukia vizuri na ambayo haichubui. Nataka ngozi yangu ing'ae niwe muli muli, ngozi yangu iteleze.
Unaweza kwenda duka la urembo ukakuta mtu ana ngozi mbaya chunusi kibao halafu anakuambia tumia hii itakufaa, ukimuangalia yeye mwenyewe ngozi yake haina mvuto na imekakamaa!
Ndio maana nimeamua niulize hapa, sitaki kwenda kushauriwa kwenye maduka ya cosmetics.