Msaada: Jinsi ya kufahamu lotion inayofaa kwa ngozi yangu

Msaada: Jinsi ya kufahamu lotion inayofaa kwa ngozi yangu

Mwenyewe napaka vaseline mkuu, ngozi yangu haina shida πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ... nawashauri wanaotaka kuglow na kuondoa chunusi jamani😌😌
Wanazidisha mkuu, utasikia serum, lotion, foundation, oil sijui make up ila shughuli akizifuta zote πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Kama hupaki Vaseline tumia Nazi πŸ˜€πŸ˜€
 
Wanazidisha mkuu, utasikia serum, lotion, foundation, oil sijui make up ila shughuli akizifuta zote πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Kama hupaki Vaseline tumia Nazi πŸ˜€πŸ˜€
YeahπŸ‘ŠπŸ‘Š,, unaongeza na glycerin tu ila nayo sio lazima sana
 
Attachments

  • 20231020_125229.jpg
    20231020_125229.jpg
    26 KB · Views: 24
Back
Top Bottom