Amehlo
JF-Expert Member
- May 8, 2019
- 10,104
- 29,178
Wanazidisha mkuu, utasikia serum, lotion, foundation, oil sijui make up ila shughuli akizifuta zote [emoji3][emoji3][emoji3]
Kama hupaki Vaseline tumia Nazi [emoji3][emoji3]
Na sun screen je
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanazidisha mkuu, utasikia serum, lotion, foundation, oil sijui make up ila shughuli akizifuta zote [emoji3][emoji3][emoji3]
Kama hupaki Vaseline tumia Nazi [emoji3][emoji3]
Uso wako upoje una changamoto ya chunusi au upo kawaida?Yaani mimi nimehangaika mpaka basi. Ngozi yangu ni oil skin nataka lotion ya ku glow.
Niliwah kuchanganyaga na serum ya Tiatio ilikua poa sana yani. . Ngozi lainiii😊[emoji3][emoji3][emoji3]vaseline uchanganye na kale ka serum ka South Africa
Nakwambia,, full set huku songea bila kuanzia 210000 hupati, nadhani huko mjini bei itakua poa kidogo 😃😃😃Lilies ujipange bei imechangamka haswa
Me napaka zangu palmol ya 5000 tu sina mbambamba
Alafu kuna mimi ngozi naijali ila haina shukraniNiliwah kuchanganyaga na serum Tiatio ilikua poa sana yani. . Ngozi lainiii😊
Uwe unaagiza zako townNakwambia,, full set huku songea bila kuanzia 210000 hupati, nadhani huko mjini bei itakua poa kidogo 😃😃😃
Nadhani bado hujapata kinachokufaa... uanze skin care routine basi😂Alafu kuna mimi ngozi naijali ila haina shukrani
hua nawanunulia wenye shida za ngozi, kama hapo kwenye 210k mtu namwambia 240k napata 30k yangu😃😃 ( mwenyewe napakaa vaseline ya mgando😂😂)... saizi ntaanza kuagiza hukoUwe unaagiza zako town
Eeh ukiagiza dar kamselele mbona 😀😀😀hua nawanunulia wenye shida za ngozi, kama hapo kwenye 210k mtu namwambia 240k napata 30k yangu😃😃 ( mwenyewe napakaa vaseline ya mgando😂😂)... saizi ntaanza kuagiza huko
Sema watu nilionao huko wamenitapeli tapeli sana hadi naogopa kuwaagiza😃😃Eeh ukiagiza dar kamselele mbona 😀😀😀
Me mvivu kuandika mwe ngoja nijaribuTunaomba shule kwa mifano
Agiza direct kwa muuzajiSema watu nilionao huko wamenitapeli tapeli sana hadi naogopa kuwaagiza😃😃
kuna wengi nimewafollow accounts zao IG ila sijawahi kuagiza, ngoja nijaribu kwanza nione 😊Agiza direct kwa muuzaji
Try babekuna wengi nimewafollow accounts zao IG ila sijawahi kuagiza, ngoja nijaribu kwanza nione 😊
SawasawaTry babe
Watu wa IG wana mambo mengi.kuna wengi nimewafollow accounts zao IG ila sijawahi kuagiza, ngoja nijaribu kwanza nione 😊
Sitaki wamenitapeli sana😃😃,, labda nije mwenyeweWatu wa IG wana mambo mengi.
Nashauri kama una mtu anaishi Town ni bora uwe unamtumia.