Girland
JF-Expert Member
- Jan 24, 2016
- 2,489
- 4,253
Hapa tutafute wa Kigoma ndanindani huko 😀😀😀,swali ni simpo tu kuuliza unaijua sunscreen au Serum akisema ndiyo hafai 😀Hapo sijaweka sunscreeen si unaliona jua lilivyokali[emoji3][emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa tutafute wa Kigoma ndanindani huko 😀😀😀,swali ni simpo tu kuuliza unaijua sunscreen au Serum akisema ndiyo hafai 😀Hapo sijaweka sunscreeen si unaliona jua lilivyokali[emoji3][emoji3]
Hapa tutafute wa Kigoma ndanindani huko [emoji3][emoji3][emoji3],swali ni simpo tu kuuliza unaijua sunscreen au Serum akisema ndiyo hafai [emoji3]
ndo maana mnapiga vibomu mafuta >140k??naona hata bei yake iko chini ukicompare na Lillies 😊
Jamani 😃😃🤣🤣🤣🙌ndo maana mnapiga vibomu mafuta >140k??
aisee
Nimeona unashauri mtu anunue kwa 140k ,Kodi ya miezi sita uswazi huko mtu anajipaka 😀😀😀Me mbona napaka zangu mawese
Nimeona unashauri mtu anunue kwa 140k ,Kodi ya miezi sita uswazi huko mtu anajipaka [emoji3][emoji3][emoji3]
Ms macho unataka kuwakaYaani mimi nimehangaika mpaka basi. Ngozi yangu ni oil skin nataka lotion ya ku glow.
Hapana. Nina vichunusi kidogo vinanisumbua.Ms macho unataka kuwaka
Pole, kula matango yatasaidiaHapana. Nina vichunusi kidogo vinanisumbua.
Obby Aggy nzuri eeeee🤣😅Mimi ngozi yangu ni acne prone, natumia acnofa 2 face wash, coconut oil mwilini, usoni natumia obby aggy usiku. Ngozi yangu imeglow
Natafuta hela ninunue sunscreen.
Mbona unacheka?🙁Obby Aggy nzuri eeeee🤣😅
Ebu shughulika viishe fasta alafu ndo nikutoe outHapana. Nina vichunusi kidogo vinanisumbua.
Ya Wix..Body oil ipi Ni nzuri kwa ajili ya mwilini.... Ili niache kupaka body lotion.... Natamani kuacha kupaka body lotion.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]140,000 bei iko chini? Fear women
Wagumu tunatamba na Vaseline for men Petroleum jelly hatujui chunusi wala harara.
Binafsi naanza na oil ndo inafata lotion.Naomba shule ya matumizi ya hizi body oils Zilizopo kwa Sasa.... Kwangu bado Ni kitu kigeni. Unapaka body oil yenyewe? Unapaka kabla ya lotion? Au unapaka baada ya kupaka lotion??