cold water
JF-Expert Member
- Oct 6, 2021
- 238
- 954
first unatakiwa ujue ngozi yako ni ana ganiPoleni na kazi, nahitaji lotion inayonukia vizuri na ambayo haichubui. Nataka ngozi yangu ing'ae niwe muli muli, ngozi yangu iteleze.
Unaweza kwenda duka la urembo ukakuta mtu ana ngozi mbaya chunusi kibao halafu anakuambia tumia hii itakufaa, ukimuangalia yeye mwenyewe ngozi yake haina mvuto na imekakamaa!
Ndio maana nimeamua niulize hapa, sitaki kwenda kushauriwa kwenye maduka ya cosmetics.
inadepend kuna oil unaweza kupaka yenyewe na kuna oil unapaka after lotion kwa ajili ya kuseal moisture kupaka before lotion ni serum na mara nying ni usoniNaomba shule ya matumizi ya hizi body oils Zilizopo kwa Sasa.... Kwangu bado Ni kitu kigeni. Unapaka body oil yenyewe? Unapaka kabla ya lotion? Au unapaka baada ya kupaka lotion??
Kuna bidhaa za urembo nauza jumla rejareja, direct kutoka SA. Nimeona madukani zilizopo ikabidi nicheke kwanza dahPoleni na kazi, nahitaji lotion inayonukia vizuri na ambayo haichubui. Nataka ngozi yangu ing'ae niwe muli muli, ngozi yangu iteleze.
Unaweza kwenda duka la urembo ukakuta mtu ana ngozi mbaya chunusi kibao halafu anakuambia tumia hii itakufaa, ukimuangalia yeye mwenyewe ngozi yake haina mvuto na imekakamaa!
Ndio maana nimeamua niulize hapa, sitaki kwenda kushauriwa kwenye maduka ya cosmetics.
pearl essence ushapaka?Yaani mimi nimehangaika mpaka basi. Ngozi yangu ni oil skin nataka lotion ya ku glow.
Hapana, ni sh. Ngp?pearl essence ushapaka?
Kama ni mweupe jaribu set ya Lillies naona wengi imewafanya vizuri... unaweza usitumie serum yake na ukatumia hata Tiatio bado ukawa poaπYaani mimi nimehangaika mpaka basi. Ngozi yangu ni oil skin nataka lotion ya ku glow.
kanunue my wangu sio bei set ni 140,000/= kama sijakosea ina face cream, lotion serum na sabuni nunua na scrub ya turmeric au coffee pia jitahidi atleast once a week steem uso au ngozi na aloevera na limaoHapana, ni sh. Ngp?
Mimi sio mweupe Leejay49 hunijui jamani πππKama ni mweupe jaribu set ya Lillies naona wengi imewafanya vizuri... unaweza unitumie serum yake na ukatumia hata Tiatio bado ukawa poaπ
Nitajitahidi, asante babe.kanunue my wangu sio bei set ni 140,000/= kama sijakosea ina face cream, lotion serum na sabuni nunua na scrub ya turmeric au coffee pia jitahidi atleast once a week steem uso au ngozi na aloevera na limao
Tembelea Hs Hamons Kwenye maduka Yao Mlimani city au Kariakoo-Wana Wataalam wa Ngozi,Au fika Muhimbili Idara ya Ngozi update ushauri.Binadami tuna aina tofauti za Ngozi na Kila Ngozi Ina vya kupaka tofauti na wenginePoleni na kazi, nahitaji lotion inayonukia vizuri na ambayo haichubui. Nataka ngozi yangu ing'ae niwe muli muli, ngozi yangu iteleze.
Unaweza kwenda duka la urembo ukakuta mtu ana ngozi mbaya chunusi kibao halafu anakuambia tumia hii itakufaa, ukimuangalia yeye mwenyewe ngozi yake haina mvuto na imekakamaa!
Ndio maana nimeamua niulize hapa, sitaki kwenda kushauriwa kwenye maduka ya cosmetics.
Mwenyewe napaka vaseline mkuu, ngozi yangu haina shida πππ... nawashauri wanaotaka kuglow na kuondoa chunusi jamaniππ140,000 bei iko chini? Fear women
Wagumu tunatamba na Vaseline for men Petroleum jelly hatujui chunusi wala harara.