Wanazidisha mkuu, utasikia serum, lotion, foundation, oil sijui make up ila shughuli akizifuta zote [emoji3][emoji3][emoji3]
Kama hupaki Vaseline tumia Nazi [emoji3][emoji3]
Uso wako upoje una changamoto ya chunusi au upo kawaida?Yaani mimi nimehangaika mpaka basi. Ngozi yangu ni oil skin nataka lotion ya ku glow.
Niliwah kuchanganyaga na serum ya Tiatio ilikua poa sana yani. . Ngozi lainiii๐[emoji3][emoji3][emoji3]vaseline uchanganye na kale ka serum ka South Africa
Nakwambia,, full set huku songea bila kuanzia 210000 hupati, nadhani huko mjini bei itakua poa kidogo ๐๐๐Lilies ujipange bei imechangamka haswa
Me napaka zangu palmol ya 5000 tu sina mbambamba
Alafu kuna mimi ngozi naijali ila haina shukraniNiliwah kuchanganyaga na serum Tiatio ilikua poa sana yani. . Ngozi lainiii๐
Uwe unaagiza zako townNakwambia,, full set huku songea bila kuanzia 210000 hupati, nadhani huko mjini bei itakua poa kidogo ๐๐๐
Nadhani bado hujapata kinachokufaa... uanze skin care routine basi๐Alafu kuna mimi ngozi naijali ila haina shukrani
hua nawanunulia wenye shida za ngozi, kama hapo kwenye 210k mtu namwambia 240k napata 30k yangu๐๐ ( mwenyewe napakaa vaseline ya mgando๐๐)... saizi ntaanza kuagiza hukoUwe unaagiza zako town
Eeh ukiagiza dar kamselele mbona ๐๐๐hua nawanunulia wenye shida za ngozi, kama hapo kwenye 210k mtu namwambia 240k napata 30k yangu๐๐ ( mwenyewe napakaa vaseline ya mgando๐๐)... saizi ntaanza kuagiza huko
Sema watu nilionao huko wamenitapeli tapeli sana hadi naogopa kuwaagiza๐๐Eeh ukiagiza dar kamselele mbona ๐๐๐
Me mvivu kuandika mwe ngoja nijaribuTunaomba shule kwa mifano
Agiza direct kwa muuzajiSema watu nilionao huko wamenitapeli tapeli sana hadi naogopa kuwaagiza๐๐
kuna wengi nimewafollow accounts zao IG ila sijawahi kuagiza, ngoja nijaribu kwanza nione ๐Agiza direct kwa muuzaji
Try babekuna wengi nimewafollow accounts zao IG ila sijawahi kuagiza, ngoja nijaribu kwanza nione ๐
SawasawaTry babe
Watu wa IG wana mambo mengi.kuna wengi nimewafollow accounts zao IG ila sijawahi kuagiza, ngoja nijaribu kwanza nione ๐
Sitaki wamenitapeli sana๐๐,, labda nije mwenyeweWatu wa IG wana mambo mengi.
Nashauri kama una mtu anaishi Town ni bora uwe unamtumia.