Msaada: Jinsi ya kufahamu lotion inayofaa kwa ngozi yangu

Mimi ngozi yangu ni acne prone, natumia acnofa 2 face wash, coconut oil mwilini, usoni natumia obby aggy usiku. Ngozi yangu imeglow
Natafuta hela ninunue sunscreen.
Obby Aggy nzuri eeeeeπŸ€£πŸ˜…
 
Body oil ipi Ni nzuri kwa ajili ya mwilini.... Ili niache kupaka body lotion.... Natamani kuacha kupaka body lotion.
 
Body oil ipi Ni nzuri kwa ajili ya mwilini.... Ili niache kupaka body lotion.... Natamani kuacha kupaka body lotion.
Ya Wix..

Morrocan…

Vaseline…
 
Naomba shule ya matumizi ya hizi body oils Zilizopo kwa Sasa.... Kwangu bado Ni kitu kigeni. Unapaka body oil yenyewe? Unapaka kabla ya lotion? Au unapaka baada ya kupaka lotion??
Binafsi naanza na oil ndo inafata lotion.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…