Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,113
hahaha kwa nini umuhamishe wakati huu. Au ndo tuseme ila zawadi ya kikuku cha mguu wa kushoto ndo imemlainisha akalegeza msimamo!
Halafu Mtei ee, nimeona huku watu wanasema marejesho ana nanii...(naogopa kusema atanigonga kwenzi) na eti wanasema naniii(jina lake linaanza na herufi ya mswaki) ndo kamshibisha, sasa we unamtoroshea kgali ili?
Shaurilo Filipo! Sikushtui tena yale maswala ya mulika mwizi meen! Na hiyo mimba ya nani unajua Nimtaje.?
..aisee bora kombolela...mcje kucheza TOBO ,BAO tu. Vin Diesel marejesho
Mimi na marejesho hatukukutana barabarani. Hzo nyngne ni changamoto za kmaisha tu ambazo kwangu sio kikwazo.
usipomtaja mi namtaja, na kibaya zaidi amesema anmfanyia mpango wa kumpeleka ilagik (soma kinyumenyume).
Halafu mareturn hasemi hapa kwa nini anakimbilia nje ya tz, tena kwa kuandaliwa huo mpango na back person
hahaha kwa nini umuhamishe wakati huu. Au ndo tuseme ila zawadi ya kikuku cha mguu wa kushoto ndo imemlainisha akalegeza msimamo!
Halafu Mtei ee, nimeona huku watu wanasema marejesho ana nanii...(naogopa kusema atanigonga kwenzi) na eti wanasema naniii(jina lake linaanza na herufi ya mswaki) ndo kamshibisha, sasa we unamtoroshea kgali ili?
ila nikutonye marejesho anaugua ugonjwa wa kichefuchefu na inasemekana ataugua kwa miezi tisa. Na kibaya zaidi kwako ni kuwa wewe si uliyemwambukiza huo ugonwa.
...hiki kikuu na kibata..jamani nani kachukuaaaa?
He he he he ... Voice of Wisdom bana.... Umenifanya nicheke...... Natamani sana kwenda kukagua miundombinu ya kwa Kagame ....... Mwenyeji wangu ni mwana JF mwenzangu ambaye hata mume wangu anaelewa.....

Nayajua yote hayo. Naujua ukweli
em sema ukweli pengina naweza kuona jinsi ya kukuhurumia katika hukumu yangu juu yako
Yaani kipaji halisi sisi tucheze tuu kombolela mpaka giza liingie? Tukichoka si lazima tubadili angalao TOBO kidogo followed by BAO ???
heheheheeeee........am jeeez watching you:eek2:
Jeska Vin Diesel Asprin charminglady figganigga Ruttashobolwa Mamndenyi Jiwe Linaloishi Thanda chacha Ombura kipaji halisi marejesho Zion Daughter amu mwaJ et al
will be back when you are all done........ najua kikuku na kibata chake vipo kwa nani......tihititihiiii!!!
lara 1 alinipokonya! nikaishia nilipoishiaPaloma what have u done?
tulikubaliana kuwa utamlinda Vin Diesel ni aje tena kesi ya kikuku inazidi kumwelemea.
Paloma but tulikubaliana ndo maana nikakuachia,
haijaharibika kitu, lara 1 anatoka na mtu mmoja mzito sana humu jamvini,
ngoja ni PM ili amchukue mtu wake atuachie Vin Diesel tuendelee kumzoea pamoja na
matatizo yake hivyo hivyo.