Msaada kama kuna mdau alinionea Kikuku changu siku ya White Party tafadhali!!!!!!!!!!!!!!!!

lara 1 come this way,
tukuharibie kwa mkuu wa kazi au ukubali kutuachia Vin Diesel,
halafu Paloma na wewe siyo kukubali kirahisi hivyo wakati mwingine try sana to be strong lady.

hihihiiii.........hapa nilipo nipo na Vin Diesel tunakula lunch.......nilimuachia siku ile tu sasabu ilikuwa na agenda nyingine nzito kiasi ndo mana akachoropoka! Lakini from now on pin kama kawa!
 
Last edited by a moderator:
Paloma but tulikubaliana ndo maana nikakuachia,
haijaharibika kitu, lara 1 anatoka na mtu mmoja mzito sana humu jamvini,
ngoja ni PM ili amchukue mtu wake atuachie Vin Diesel tuendelee kumzoea pamoja na
matatizo yake hivyo hivyo.

TOBAAAAAAAAA!!!!!!!!!!!!!!! Mbona mwanisingizia Shutuma Nzito? Khaaaaaaaaa! Mnyonge ninyongeni haki yangu nipeni! Nani huyo Bwenyenye naetoka nae???????? Nifahamishe nijue mie!
 
Mbona hujajibu tuhuma lara 1
TOBAAAAAAAAA!!!!!!!!!!!!!!! Mbona mwanisingizia Shutuma Nzito? Khaaaaaaaaa! Mnyonge ninyongeni haki yangu nipeni! Nani huyo Bwenyenye naetoka nae???????? Nifahamishe nijue mie!
 
Last edited by a moderator:
Nisisikie ulikaa na Thanda,,,,,,,,,,,,,,


Mwenzenu nyumbani hapaliki wala hapalaliki, nimepotelewa na Kikuku changu siku ya White Party.

Kama kuna mtu alinionea basi anairejeshee tafadhali.

Hivi siku zile nilikuwa nimekaa na nani vile??????????????? LOL



 
Last edited by a moderator:
Mimi niliokota cha mguu wakushoto hivyo siyo hicho kilichopotea ila Jeska kwakuwa hukuwaza kwenye listi yako kama naweza kukiokotqa basi nahiki najua sichakwako ila nilimuona Mwita Maranya kwakaribu na meza yako wakinong'ona na mzee ODM Asprin jaribukuwauliza ila usiwambie kama mimi nimekwambia sawa ehee??
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…