Msaada kama kuna mdau alinionea Kikuku changu siku ya White Party tafadhali!!!!!!!!!!!!!!!!



Bora mie nilijiondokea mapemaaa kabla ya kwaito... Hebu check na Paloma make yeye ndiye nilimuacha pale mezani!!!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Paloma kalala hapa kidogo apaliwe alivyoona comment yako......
Hehehehe.... Paloma akinizengua ntaendelea kujichuna mwenyeqwe kwa amu.

Hivi nani alikuambia nlikuwa kwenye party yenu? Mi nlikuwa N'twara kwenye kampeni ya Gesi Kwanza, Kilimo Kwanza Kitajiju Bagamoyo.
 

alokuambia lara 1 alinikimbia kakudanganya......baadae tulikutana mahali.....halafu kumbuka jina lake mie ndio mwenye haki miliki ya kulitaja.....
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Ukweli sasa utajulikana na kila kitu kitakuwa peupe hivi punge
Ruttashobolwa tafadhali kwa msaada wa kisheria
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahahahahahahahahaha
Paloma alikuwa pale..................................
Boss acha kikuku kiitwe kikuku bhna!


Bora mie nilijiondokea mapemaaa kabla ya kwaito... Hebu check na Paloma make yeye ndiye nilimuacha pale mezani!!!
 
Last edited by a moderator:
Kwi kwi kwi kwi kwiiiiiii

We unatisha haki ya mguu vile
Mi sitishi bana, anayetisha Madame B. hebu angalia pozi langu....



Litaendana vipi na kimwana kikali na mapozi ya karne ijayo??

 
Last edited by a moderator:
Hahahahahahahahahahahahaha
Paloma alikuwa pale..................................
Boss acha kikuku kiitwe kikuku bhna!
Hehehehe Paloma alikuwa na kazi ngumu ya kuukabili ubakaji wa Vin Diesel. Huyu kijana zikimshuka hajali cha mnadi swala wala nani sijui...



Kama si ulinzi shirikishi wa watu8, hivi leo Paloma angekuwa mjamzito
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…