cha mguuni au cha kiunoni?
shhiii
we are watching your moves.
Kuna mtu limempata...
Naomba unitumie akaunti number yako.
hahaha, wenye hekima wanaoishauri mahakama wamepata pa kuanzia. Ruta, jaji mkuu wa cchc(chitchat high court) tafadhali nukuu maneno ya mtuhumiwa.
Dpp wa cchc tafadhali kamilisha jalada la mtuhumiwa tayari kwa ajili ya kusimamishwa mbele ya jaji mkuu wa cchc
fcheni siri
Na ukinunua kingine itakuwaje??
Loh . . . Donn na we utasutwa!!!! Nataka aje anijibu mwenyewe!kile kina mambo yake... Mwanaume akikionatuu... Maudenga tu
Loh . . . Donn na we utasutwa!!!! Nataka aje anijibu mwenyewe!
Ila sasa ninapokuwa serious usiwe unadandia sawa??opps... Unajua mi napendaga tu kuona mwandiko wako wa mcharazo... Kila nikiona post yako lazima niidandie
Ila sasa ninapokuwa serious usiwe unadandia sawa??
tulipata F makusudi practical ya somo la kuficha siri
dah! Naamini kuwa Rutta hataniharbia
je mimi nlikua nacheza na nani? tumuulize marejesho?. mia
Mamndenyi kile cha kiunoni nilichokununulia dubai bado unacho? Kitunze bana kumbukumbu ya good times!