Binafsi sijapenda watu mnavyomuaattack personally huyu dada,hapa duniani magonjwa ni mengi,mtu kaleta tatizo lalke akiamini pengine atapata ufumbuzi ila anaambuliua majibu ya kebehi na dharau,hii sio sawa,hapo TZ kuna mtoto alikuwa anaumwa ugonjwa ambao ulikuwa unamfanya asile chakula chochote zaidi ya mafuta ya kula baada ya kuhangaika kwa wachungaji sijui nini mwisho wa siku akapelekwa India na huko akapatiwa matibabu,hivyo basi maradhi ni mengi tusiwe judgemental sana,vipi lakini mmekula?