Msaada: Kila nikimnyonyesha mwanangu nafika mshindo. Hali hii ni kwa Wanawake wote?

Chai
JamiiForums1408582055.jpg
 
Pole sanaa hiyo hali ya sexual satisfcation sababu ya kunyonyesa inawezekana kabisa ila kwako imekuwa too much hapo dawa ni kumuachisha maziwa unaweza tumia bromocriptine pia kusaidia kustop milk production sucking yake kwa mtoto wa miaka 3 kiukweli inakuwa kwa namna flani inaleta msisimkoo wa kutosha ubaya na wew ushanogewa.
 
Hello guys, mnaendeleaje?

Nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la kujimalizia mwenyewe hasa pale nilipokuwa nikimynyonyesha mwanangu na hata sasa nikiwa nimempaka usiku wakati akiwa amelala.

Iko hivi;

Wakati namnyonyesha mwanangu Jesse wakati akiwa mdogo, huwa kuna kale ka-feeling mtoto kunyonya huku mkono mmoja kashika ziwa, kiukweli mimi ile hali nimekuwa nikijikojolea (kufika mshindo).

Hapo mwanzo nilidhani huenda ni mara moja tu ingeisha lakini kila nilipokuwa nikimyonyesha mwanangu lazima akianza kuchezea nyonyo najikuta najikojolea tena kojo haswaaa!

Ilifika wakati nikawa sikai nje kabisa wakati wa kumpa nyonyo mwanangu maana hali ilikuwa mbaya sana!

Kibaya zaidi hiyo hali imenirudia tena hadi muda huu ambapo mwanangu ana miaka 3, yaani ikifika usiku nikishamuosha nikampakata tu mikononi wakati anasinzia, najikuta ule muda nimempakata najikuta najikojolea (kufikia mshindo).

Hii hali huwa ni kawaida kwa wadada au kwangu uenda ikawa ni tatizo?

Tafadhali msinidhihaki na kunitukana, nipeni ushauri
Kwa ninavyo ifahamu jf si ajabu mleta mada ni mwanaume ameamua kuchangamsha kijiwe.
 
Pole sanaa hiyo hali ya sexual satisfcation sababu ya kunyonyesa inawezekana kabisa ila kwako imekuwa too much hapo dawa ni kumuachisha maziwa unaweza tumia bromocriptine pia kusaidia kustop milk production sucking yake kwa mtoto wa miaka 3 kiukweli inakuwa kwa namna flani inaleta msisimkoo wa kutosha ubaya na wew ushanogewa.
Na nnavyomuona sidhani kama atamuachisha huyo mtoto nyonyo.. Atanyonya mpaka miaka 10
 
😂😂😂 We hii nchi ngumu kidume unasimamia kucha jasho hadi kwenye meno 45min bado alafu toto lako lilopatikana kwa jasho likisuck miliki tu anakuja

Tuache dhambi
 
Hello guys, mnaendeleaje?

Nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la kujimalizia mwenyewe hasa pale nilipokuwa nikimynyonyesha mwanangu na hata sasa nikiwa nimempaka usiku wakati akiwa amelala.

Iko hivi;

Wakati namnyonyesha mwanangu Jesse wakati akiwa mdogo, huwa kuna kale ka-feeling mtoto kunyonya huku mkono mmoja kashika ziwa, kiukweli mimi ile hali nimekuwa nikijikojolea (kufika mshindo).

Hapo mwanzo nilidhani huenda ni mara moja tu ingeisha lakini kila nilipokuwa nikimyonyesha mwanangu lazima akianza kuchezea nyonyo najikuta najikojolea tena kojo haswaaa!

Ilifika wakati nikawa sikai nje kabisa wakati wa kumpa nyonyo mwanangu maana hali ilikuwa mbaya sana!

Kibaya zaidi hiyo hali imenirudia tena hadi muda huu ambapo mwanangu ana miaka 3, yaani ikifika usiku nikishamuosha nikampakata tu mikononi wakati anasinzia, najikuta ule muda nimempakata najikuta najikojolea (kufikia mshindo).

Hii hali huwa ni kawaida kwa wadada au kwangu uenda ikawa ni tatizo?

Tafadhali msinidhihaki na kunitukana, nipeni ushauri
ni dhahiri huna mwanaume,sasa tafuta mwanaume wako
 
Back
Top Bottom