Msaada: Kila nikimnyonyesha mwanangu nafika mshindo. Hali hii ni kwa Wanawake wote?

Binafsi sijapenda watu mnavyomuaattack personally huyu dada,hapa duniani magonjwa ni mengi,mtu kaleta tatizo lalke akiamini pengine atapata ufumbuzi ila anaambuliua majibu ya kebehi na dharau,hii sio sawa,hapo TZ kuna mtoto alikuwa anaumwa ugonjwa ambao ulikuwa unamfanya asile chakula chochote zaidi ya mafuta ya kula baada ya kuhangaika kwa wachungaji sijui nini mwisho wa siku akapelekwa India na huko akapatiwa matibabu,hivyo basi maradhi ni mengi tusiwe judgemental sana,vipi lakini mmekula?
 
Kwahiyo wewe hapa kwenye hili gazeti lako umetoa ufumbuzi gani kwa mleta mada?
 
Kukojoa na kupelekewa moto zaidi ya dkk 20 havihusiani mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…