Msaada: Kila nikimnyonyesha mwanangu nafika mshindo. Hali hii ni kwa Wanawake wote?

 
sasa naanza kumwelewa papa
 
Kila mwisho wa mwezi ntakuwa nafanya birthday yangu.

Natafuta mama wa kuninyonyesha
 
Tatizo hilo jina lako
 
Hapo lazima mtoto awe na afya njema maana ana uhakika wa kunyonyeshwa kila saa, maana Mama kila akinyonyesha Wazungu haooo πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Hivi kwani huwa haitekenyi?
Kuna demu mmoja natoka nae ana mtoto kama wa mwaka 1, amewahi kuniambia kitu kinachokaribia kufanana na anachosema huyu mleta mada. Huyo dada aliniambia mwanae akiwa ananyonya kuna "ka feeling" hua anapata. Nilipojaribu kumdodosa zaidi akaniambia mi siwezi kuelewa. Mi sikutilia maanani.
 
Joined December 14, 2023. New Member with only two posts. Tumsamehe bure.
 
Kagugo breastfeeding orgasm au Lactating Orgasm.


Kuna utafiti walifanya wazungu. Wanasema kuna baadhi ya wanawake wanapata hiyo hali ila ni marachache mno, nadra sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…