Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 1,849
- 3,506
- Thread starter
- #41
Fafanua zaidi mkuuAnasumbuliwa na jina, mpe jina la bibi yake kizaa baba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fafanua zaidi mkuuAnasumbuliwa na jina, mpe jina la bibi yake kizaa baba
Ahsante mkuuGesi kuna wakati wamama huchoka sanaa aisee so unakuta anampa mtoto usiku nyonyo yeye analala mpaka mtoto ananyonya hewa tu.
1.nunua Grip water hii itamsaidia sana.
2.kama unahisi mambo ya uswahili usipewe dawa yoyote mkate tunywele kidogo kichwani mwake kisha hizo hizo nywele zake mfunge kichwani mwake.
3.Jitahidi kumbeba kwa kumweka begani kusaidia kutoa gesi.
Ahsante mkuuMwambie amfanyie tummy time
Anamweka kifuani pake alale hapo mpaka awe fofofo ndo amlaze kitandani
Kumbuka huyo kakaa tumboni miezi 9 na kule kuna joto tofauti na huku alipo sasa
So anapomueka kifuani anafeel safe then anatulia!
Ukitaka kujua kama ni gesi binya tumbo lake kama ni gumu sana mpe infacol kama si gumu usimpe dawa afanye tu hiyo tummy time utaona!
Nami ilimsaidia sana mwanangu now ana 10months
Inatokeaga hiiDuh mnanikumbusha kuna dogo nae alikua analia hivyo hivyo sasa huyu hata kunyonya hataki (Mtoto wa baba mdogo),kulala halali ucku kucha,ila mchana anauchapa vzr sn,bibi yake alisema mbadilisheni jina tu. Tangu limetekelezwa hilo hajawaji leta shida tena not sure why and what happened to previous name.
Ahsante mkuu1. Hakikisha ananyonya na kushiba.
2. Mtoe gesi kwa kumbeba begani au mlaze kwenye mapaja kifudifudi baada ya kunyonya
3. Kwa vile hujui ni kiwango gani cha maziwa ananyonya kwenye ziwa. Ni vizuri nyakati za usiku umkamulie maziwa na umfanyie bottle feeding ambapo umnyweshe kulingana na umri wake.
4. Usimvalishe nguo za mpira au za joto hasa msimu wa joto.
5. Asikae na mikojo au kinyesi au uchafu. Kila akikojoa mbadilishe. Ikiwezekana usimvalishe Pampas kama anashinda nyumbani.
6. Kila baada ya siku moja aoge.
7. Mnyooshe viungo.
8. Angalau kwa siku umtoe nje akapigwe na upepo. Akilia.
9. Kabla hajanyonya maziwa hakikisha mamaake ameosha ziwa na maji masafi na kulifuta.
Pole kwa shida anayopata mtoto.
Tatizo linalomkabili dogo ni gesi iliyozidi tumboni ambayo anaimeza wakati wa kunyonya maziwa, sababu kubwa inayosababisha mtoto ameze gesi nyingi wakati wa kunyonya ni poor positioning ya mtoto wakati wa kunyonya kiasi cha kusababisha gesi nyingi kuweza kupita mdomoni kwa mtoto na kumsababishia Hali hiyo uliyoelezea.
Cha kufanya
1.Achana na wazo la kumpa gripwater,au sijui maji ya uvuguvugu au chochote kile mbali na maziwa ya mama,kwani utazidisha tuu tatizo na sio nzuri kwa afya ya mtoto mchanga ambae anatakiwa apewe maziwa ya mama tuu kwa muda wa miezi sita ya kwanza ya maisha yake.
2. Hakikisha mama wa mtoto anam position vizuri mtoto wakati anamnyonyesha. Position ya mtoto ikiwa vibaya husababisha gesi kuingia mdomoni kwa mtoto wakati ananyonya na kumsababishia gesi. Angalia video ifuatayo ambayo inaonyesha jinsi ya kumshikilia mtoto vizuri wakati wa kunyonyesha.
View: https://www.youtube.com/watch?v=or4OnMxihUg
3.Kila baada ya mtoto kunyonya na kushiba,mama yake amcheulishe mtoto kwa kumbeba na kuegemeza tumbo la mtoto kwenye bega lake (mama), huku akimgusa mgongoni gently,fungua video ifuatayo kuona jinsi ya kumcheulisha mtoto baada ya kunyonya. Hii husaidia mtoto kutoa gesi ambayo inaweza kuwa iliingia wakati wa kunyonya.
View: https://www.youtube.com/watch?v=m50PTFmmlxw
4. Amfanyie mtoto massage inaitwa "I love you tummy massage" akiona mtoto analia na kujinyonga nyonga na hayuko comfortable. Cheki vide chini hapa kuona namna ya kufanya
View: https://www.youtube.com/watch?v=nUNzi9PYBwc
View: https://www.youtube.com/watch?v=xfGtACWT9ng
Ukifanya kwa usahihi massage hiyo, kama mtoto alikuwa na gesi tumboni,basi utaona anajamba na ataacha kujinyonga na atalala kwa amani kabisa.
Financial Analyst
Habari.
Nina mtoto wa miezi miwili. Kuna changamoto aliyonayo ya kutolala karibia usiku mzima yaani analala kimagepu huku akiwa hayuko comfortable.
Na akiwa macho hatulii na mama yake pia akimuweka kitandani hataki kukaa peke yake anaanza kulia. Akimpatia pia nyonyo muda mwingine anakataa muda mwingine ananyonya.
Hali hii inatokea pia na mchana.
Msaada kudhibiti hii hali kama umeshawahi kuipitia na mwanao.
Hongera kwakupata mtotoHabari.
Nina mtoto wa miezi miwili. Kuna changamoto aliyonayo ya kutolala karibia usiku mzima yaani analala kimagepu huku akiwa hayuko comfortable.
Na akiwa macho hatulii na mama yake pia akimuweka kitandani hataki kukaa peke yake anaanza kulia. Akimpatia pia nyonyo muda mwingine anakataa muda mwingine ananyonya.
Hali hii inatokea pia na mchana.
Msaada kudhibiti hii hali kama umeshawahi kuipitia na mwanao.
Mtoto huyo hashibi,maziwa ya mama hayamtoshi.Mpe maziwa ya ng'ombe au kopo.Utakuja kunishukuru.
Kila baada ya kunyonyeshwa muweke begani umukimpapa mgongoni au kama kumpiga (Ile ya kubembeleza) ili atoe upepo (acheue). Hapo anaweza kutulia unapomlaza au kumuacha mwenyewe. Upepo tumboni huwasumbua SanaHabari.
Nina mtoto wa miezi miwili. Kuna changamoto aliyonayo ya kutolala karibia usiku mzima yaani analala kimagepu huku akiwa hayuko comfortable.
Na akiwa macho hatulii na mama yake pia akimuweka kitandani hataki kukaa peke yake anaanza kulia. Akimpatia pia nyonyo muda mwingine anakataa muda mwingine ananyonya.
Hali hii inatokea pia na mchana.
Msaada kudhibiti hii hali kama umeshawahi kuipitia na mwanao.
Mtoto anatoa wapi gesi?Gesi inamsumbua
Wewe nenda kacheze na watoto wenzio kule, huku kwa watu wazima. Mtoto wa miezi miwili hana ratiba ya chakula.tupe ratiba yake ya chakula...!
Wewe nenda kacheze na watoto wenzio kule, huku kwa watu wazima. Mtoto wa miezi miwili hana ratiba ya chakula.