Msaada kwa rafiki anayeuguza moyo uliovunjwa

Mwambie aache kujione huruma sana naanache haraka kutumia mawazo yake vibaya, duniani lazima tuteseke kwa zamu na kila mtu atateseka na asipoteseka atateswa kwa nguvu na mapenzi.
Itamfikia mkuu
 
Huyo hana lolote, kalimiss dushe tu
 
Mimi mwenyewe hapa mwanamke kaniumiza,kaniumiza, kaniumizaaaaaaa! Nahisi kuua,ila nimejipa nafasi ya kutulia kwanza ninashinda ndani tu.
 

Namuelewa sana anachopitia,wakati fulani nilishawahi kuwa na hii hali nilivyokuwa chuo...nikaweka hadi uzi humu wa kusaidiwa namna ya kumsahau
Kama ni mwanaume wake wa kwanza kama ilivyokuwa kwangu atachukua muda zaidi manake binafsi hadi sasa bado naumia kimtindo nikimkumbuka

Pole yake huyo rafiki yako, muda utamponya
 
Amina dada
Pole na ww kwa yaliyokukuta
 
Kuna kijana mmoja hapa wa kiume nishawahi msaidia mpaka akapata mke mwingine akaoa kabisa , siku akanipigia yupo na mke wake mpya anatoa ushuhuda, pm Iko wazi Kama ni utaniambia, sijui nianzishe hii project niwe nalipwa kabisa
Fanya hivo maana unaingia kwenye husiano hilo ambalo hujui lina husiana nini
 
Aje nimpende na nimuondoe mawazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…