Msaada kwa rafiki anayeuguza moyo uliovunjwa

Msaada kwa rafiki anayeuguza moyo uliovunjwa

Mchukue, mtoe out nenda nae sehemu nzuri.
Ambayo hajawahi kufika, mkaenae huko.

Akajionee dunia inavyoendelea.
 
Huyo atakuwa mgeni wa mapenzi,alitoka mkoani bikira. Hii ndiyo heartbreak yake ya kwanza,atapona tu na kuwa sugu. Muda ndiyo dawa wala hakuna ushauri utamsaidia.

Labda ajitahidi kuto kuonana kabisa na huyo jamaa kama anaweza,asipoangalia atageuzwa mchepuko na jamaa.
Hakika
 
Ivi kwanini wanaume hamna chembe ya huruma?

Kuna mdada hapa hajui afanye Nini muda huu maana kaachwa na boyfriend wake..

Ni miezi kadhaa imepita ila naona Ile hali Bado inamsumbua...mwili wake umepungua mno na chuo kaacha kuja kabisa

Ushauri nimempa ila naona bado haumsaidii..nimeleta huku jukwaani maana motivational speaker na washauri hawakosi ili tumsaidie....

Anaweza kujidhuru Kwa Hali hii kashindwa kumsahau boyfriend wake kabisa...

Ni hatua zipi anaweza kufata ili kuwa katika ukawaida au mambo yapi afanye
Ninao dawa inaweza kumsaidia. ila awe amedhamiria kweli kweli kumsahau...
 
Likely huyo alikuwa ameolewa kwa hizi ndoa bubu za wanachuo - akifua, kupika na kupelekewa moto kila siku. Amepigwa chini ghafla vu bin vu sasa cha moto anakiona.

Inavyoonekana bado yupo kwenye denial stage; na hajakubaliana na hali halisi kuwa keshaachwa. Akija kuondoka kwenye denial stage basi ndiyo safari halisi ya uponaji itaanza. Kwa sasa anahitaji watu wa kuwa karibu naye na kumtia moyo. Kama chuo kina washauri nasaha au wanasaikolojia ya mandeleo basi aende akaongee nao. Naamini atakuwa OK na akijipa muda atakuja kukiona kipindi hiki kuwa ni cha muhimu sana kwake maana kitakuwa ndicho hasa kimemfundisha mambo mengi ya muhimu kuhusu mahusiano na maisha kwa ujumla. Na pengine hatarudia tena kosa la kuolewa na hivi vivulana vyenzie vya chuoni [emoji706]

View attachment 3219437
Ila Gran Pa, umenichekesha hatarii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndoa bubu za wanachuo, Woiiiih.

Sasa si atulie na awe buzzy na masomoo, kulilia kijana wa watu haisaidiii.
Kuna watu wamepigwa buti na mapenzi hapa duniani, na hawana namna, wana survive km kawaa.

Mwanachuo kulia lia kisa kuachwa na BF naonaa ni msibaa kabisaa huu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ivi kwanini wanaume hamna chembe ya huruma?

Kuna mdada hapa hajui afanye Nini muda huu maana kaachwa na boyfriend wake..

Ni miezi kadhaa imepita ila naona Ile hali Bado inamsumbua...mwili wake umepungua mno na chuo kaacha kuja kabisa

Ushauri nimempa ila naona bado haumsaidii..nimeleta huku jukwaani maana motivational speaker na washauri hawakosi ili tumsaidie....

Anaweza kujidhuru Kwa Hali hii kashindwa kumsahau boyfriend wake kabisa...

Ni hatua zipi anaweza kufata ili kuwa katika ukawaida au mambo yapi afanye
Naomba namba zake
 
Binti mdogo wa chuo anakata tamaa kuachwa na kiboyfriend tu hadi aache masomo! Watu wazima wenye watoto na ndoa za kanisani bomani na misikitini zilizoshuhudiwa na mamia ya watu wanaachwa na maisha yanendelea ije kuwa boyfriend ambaye hata hajawaza kuwa baba, mume, kumtambulisha kwao? Sa zingine mshauri ukimpa na makavu laivu, unamwambia acha us*ng*e wewe maisha lazima yaendelee kaza fuvu fanya kilichokuleta chuo, huo ndo urafiki wa kweli sio unashauri unabembeleza mnabebishana kama wajinga
Boraa usemee wee, yaan ningekua mie ndo shoga ake,
Ninge mchamba angejuta kulia lia hovyoo na kijana wa watu.
Aaaah
 
Ivi kwanini wanaume hamna chembe ya huruma?

Kuna mdada hapa hajui afanye Nini muda huu maana kaachwa na boyfriend wake..

Ni miezi kadhaa imepita ila naona Ile hali Bado inamsumbua...mwili wake umepungua mno na chuo kaacha kuja kabisa

Ushauri nimempa ila naona bado haumsaidii..nimeleta huku jukwaani maana motivational speaker na washauri hawakosi ili tumsaidie....

Anaweza kujidhuru Kwa Hali hii kashindwa kumsahau boyfriend wake kabisa...

Ni hatua zipi anaweza kufata ili kuwa katika ukawaida au mambo yapi afanye
Mwambie aache kujione huruma sana naanache haraka kutumia mawazo yake vibaya, duniani lazima tuteseke kwa zamu na kila mtu atateseka na asipoteseka atateswa kwa nguvu na mapenzi.
 
Back
Top Bottom