Msaada kwa rafiki anayeuguza moyo uliovunjwa

Msaada kwa rafiki anayeuguza moyo uliovunjwa

Mapenzi ukichanganya na shule na umri mdogo ni hatari kwa afya yako,unakuta mtu alishatoka kwao kitambo,ana kazi yake,ameoa au kuolewa na anapesa zako za kutosha lakini mapenzi yanaweza kukuvuruga mpaka ukataka kunywa sumu,sasa wewe mwenzangu na mimi ndio kwanza unasoma halafu umejiingiza kwenye mapenzi sijui kama yatakuacha salama..
 
Ntaongea nae
 
Ni normal reaction hiyo wakati wa kuachana huwa inatokea.Mwambie wala asiwe na wasiwasi.Maumivu yakizidi ajitahidi kula vizuri kulala,kuoga,kuvaa vizuri kujipenda na kujichanganya na watu wanaomjali na kumpenda na ambao hawafahamu kuhusu hali yake ya mahusiano.

Akishindwa Aje JF aandika UZI mrefu wa kusimulia kisa chake cha Mapenzi kwa ID ya uongo au ya kweli huku aikisimulia kama stori ya kusaidia wengine.Baada ya masaa 72 atakuwa ameshapata tiba ya moyo.

Hayo yote yakishindikana atafuta mwansaikolojia aongee naye.Ningekuwa Free ningempa kampani ila kwa sasa nimetingwa.
 
So why don't men have an ounce of compassion?

There's a girl here who doesn't know what to do right now because she was dumped by her boyfriend..

It's been several months but I can see that the situation is still bothering him...his body has lost a lot of weight and he has stopped coming to school altogether.

I have given him advice but I see that it still doesn't help him.. I have brought it here on the platform because there is no shortage of motivational speakers and advisors so that we can help him....

She may harm herself. In this situation, she cannot forget her boyfriend completely...

What steps can he take to be normal or what things should he do?
Currently there is no Remedy available, but this is a Psychic condition which over time heals spontaneously (self limiting ailment)
 
What you reveal you can heal.

Mfundishe kuwa hii

Addiction inaondolewa na addiction

You can't heal the pains for stuck in pains , but use the pains and heal the pains
 
Ni normal reaction hiyo wakati wa kuachana huwa inatokea.Mwambie wala asiwe na wasiwasi.Maumivu yakizidi ajitahidi kula vizuri kulala,kuoga,kuvaa vizuri kujipenda na kujichanganya na watu wanaomjali na kumpenda na ambao hawafahamu kuhusu hali yake ya mahusiano.

Akishindwa Aje JF aandika UZI mrefu wa kusimulia kisa chake cha Mapenzi kwa ID ya uongo au ya kweli huku aikisimulia kama stori ya kusaidia wengine.Baada ya masaa 72 atakuwa ameshapata tiba ya moyo.

Hayo yote yakishindikana atafuta mwansaikolojia aongee naye.Ningekuwa Free ningempa kampani ila kwa sasa nimetingwa.
Asante sana
Huu ujumbe ntamfikishia.
 
What you reveal you can heal.

Mfundishe kuwa hii

Addiction inaondolewa na addiction

You can't heal the pains for stuck in pains , but use the pains and heal the pains
Thank you
I'll let her know this
Ntakuja na mrejesho
 
Huyo fanya mpango wakumshauri kwa kuonana nae sio sms alafu umwambie ajikeep bizzy na kujipa shughuli za kufanya
 
Ila mwambie hii philosophy

Useful versus important

Mwambie next time anapokuwa na mahusiano yawe yakimapenz kikazi nk

Mwambie awe important and not useful

Ukiwa Una offer vitu positive Kwa mtu unakuwa important and not useful hata ikitokea umeachwa au umebreak up hautajuta Sana .

Ukichunguza zaidi RFK yako she has nothing to offer zaidi ya body yake.

So ataachwa Sana
Thank you
I'll let her know this
Ntakuja na mrejesho
 
Back
Top Bottom