Msaada kwa rafiki anayeuguza moyo uliovunjwa

Msaada kwa rafiki anayeuguza moyo uliovunjwa

Ivi kwanini wanaume hamna chembe ya huruma?

Kuna mdada hapa hajui afanye Nini muda huu maana kaachwa na boyfriend wake..

Ni miezi kadhaa imepita ila naona Ile hali Bado inamsumbua...mwili wake umepungua mno na chuo kaacha kuja kabisa

Ushauri nimempa ila naona bado haumsaidii..nimeleta huku jukwaani maana motivational speaker na washauri hawakosi ili tumsaidie....

Anaweza kujidhuru Kwa Hali hii kashindwa kumsahau boyfriend wake kabisa...

Ni hatua zipi anaweza kufata ili kuwa katika ukawaida au mambo yapi afanye
Nisaidie namba yake nijalibu kumpa ushauli wa kitaalam
 
Wanachuo mapenzi yanawatesa sana, someni maisha ya mapenzi yapo tu na mkumbuke ARV zinaenda kuadimika.
 
Binti mdogo wa chuo anakata tamaa kuachwa na kiboyfriend tu hadi aache masomo! Watu wazima wenye watoto na ndoa za kanisani bomani na misikitini zilizoshuhudiwa na mamia ya watu wanaachwa na maisha yanendelea ije kuwa boyfriend ambaye hata hajawaza kuwa baba, mume, kumtambulisha kwao? Sa zingine mshauri ukimpa na makavu laivu, unamwambia acha us*ng*e wewe maisha lazima yaendelee kaza fuvu fanya kilichokuleta chuo, huo ndo urafiki wa kweli sio unashauri unabembeleza mnabebishana kama wajinga
 
Badala ya kutafuta skills nyinyi mnatafuta Styles.Nyinyi vitoto mmefanya Ngono ndo kila kitu. Wazazi wenu wapo wanaangaika nyinyi ni mwendo wa kuvipanua tu!
Mwambie rafiki yako Dawa mnuturisho zimepigwa pini.
 
Binti mdogo wa chuo anakata tamaa kuachwa na kiboyfriend tu hadi aache masomo! Watu wazima wenye watoto na ndoa za kanisani bomani na misikitini zilizoshuhudiwa na mamia ya watu wanaachwa na maisha yanendelea ije kuwa boyfriend ambaye hata hajawaza kuwa baba, mume, kumtambulisha kwao? Sa zingine mshauri ukimpa na makavu laivu, unamwambia acha us*ng*e wewe maisha lazima yaendelee kaza fuvu fanya kilichokuleta chuo, huo ndo urafiki wa kweli sio unashauri unabembeleza mnabebishana kama wajinga
Unatoa ushauri au unagomba
 
Wanaume: mnaona mwanamke akiumizwa kihisia anavyosaidiwa? Dunia nzima itambembeleza na kumpa sapoti

Ila wa kiume ukiumia kihisia: utakula matusi, utachekwa, utaitwa dhaifu, utataniwa sana. Ni mama yako tu atakayekuonea huruma, hata baba yako asikuonee huruma.

Usimuonee huruma mwanamke. Hiyo ni kazi ya umma. Usifanye maamuzi ya kihisia kwa kumuonea huruma. Protect yourself.
 
Hapa inatakiwa anakula chakula kizuri like kuku choma ama samaki choma nzuri iliyopikwa kiustadi ama nyama ya kondoo iliyochomwa na kachumbari ya kutosha, just to change her emotions, Kama anapenda mziki awekewe ule mziki anaoupenda , akae na watu wapige stori ,pia ajaribu kucheki mkaka anayemvutia awe anapiga Naye stori ama atembezwe mahala anapopenda sana, ikiwezekana apelekwe masaje parlour
Broo,
Yote hayo bila kukojozwa itakuwa bado
 
Ivi kwanini wanaume hamna chembe ya huruma?

Kuna mdada hapa hajui afanye Nini muda huu maana kaachwa na boyfriend wake..

Ni miezi kadhaa imepita ila naona Ile hali Bado inamsumbua...mwili wake umepungua mno na chuo kaacha kuja kabisa

Ushauri nimempa ila naona bado haumsaidii..nimeleta huku jukwaani maana motivational speaker na washauri hawakosi ili tumsaidie....

Anaweza kujidhuru Kwa Hali hii kashindwa kumsahau boyfriend wake kabisa...

Ni hatua zipi anaweza kufata ili kuwa katika ukawaida au mambo yapi afanye
Kuna thread humu JF inasema (MUACHE AENDE) ntafutie ausome anaweza ongeza kitu kichwan kama akili zake zipo salama kabisa mm nlipigwa chin mwaka 2024/12/25 saiz nakula ukwaju na watoto ukuuu 😃😃😃
 
Back
Top Bottom