Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AsanteAsikilize hizi nyimbo:
Better in Time by Leona Lewis🥰
Even Heaven Cries by Monrose😇
Stronger by Kelly Clarkson 💪
If You want Love by NF🤗
Happy by Pharrell Williams😃
Sepa by Appy😏
Enjoy by Jux🥳
Attention by Whozu 😄
Mubaba wangu by Rose Ree 🙌🏻
Poa by Maua Sama 👍
Shuu! by Aslay 👌
Acha ajinyonge tu huyo ili wajinga wapungue apa Bongo labda tunaweza kupata maendeleo kama taifa.Ivi kwanini wanaume hamna chembe ya huruma?
Kuna mdada hapa hajui afanye Nini muda huu maana kaachwa na boyfriend wake..
Ni miezi kadhaa imepita ila naona Ile hali Bado inamsumbua...mwili wake umepungua mno na chuo kaacha kuja kabisa
Ushauri nimempa ila naona bado haumsaidii..nimeleta huku jukwaani maana motivational speaker na washauri hawakosi ili tumsaidie....
Anaweza kujidhuru Kwa Hali hii kashindwa kumsahau boyfriend wake kabisa...
Ni hatua zipi anaweza kufata ili kuwa katika ukawaida au mambo yapi afanye
I'll let her knowHapo ni ishu ya subconscious mind brain servers tu alijaza 90% positive things zaidi kuhusu huyo boy mwambie atafute mabaya au madhaifu ya huyo boy ayajaze kwenye savers ya akili yke then ndani ya mwezi atakuwa amepona.
Sociology healing
Waanakuwaga choka mbaya hana hata mia...umenikumbusha ile mbali enzi za Uni 2014 tunaenda cafteria kutafuta ubwabwa uliobaki mnauziwa jero sahaniNimejaribu kuvuta picha ya Boyfriend wa Chuo nikachoka 😅😅😅😅😅😅
mwambie aache chuo utanishukuru, huyo kaka ataoa na maisha yataendelea 😅
Aya dada imemfikia📌Watoto wetu wa kike mungu awasaidie
Mwambie uyo shoga Ako aende shule wazaz wamelipa ada haoni uchungu wa pesa za wazaz wake anaonauchungu wa kuachwa na kivulana
Thanx God mie sio shabik wa mapenz sipend hekaheka
Ile nimekupiga KO hamna comeback paleKilaza kama ww
Nipe namb yako wewe,nikushauri jinsi ya kumsaidiarafiki yakoIvi kwanini wanaume hamna chembe ya huruma?