Msaada kwa rafiki anayeuguza moyo uliovunjwa

Msaada kwa rafiki anayeuguza moyo uliovunjwa

Ila mwambie hii philosophy

Useful versus important

Mwambie next time anapokuwa na mahusiano yawe yakimapenz kikazi nk

Mwambie awe important and not useful

Ukiwa Una offer vitu positive Kwa mtu unakuwa important and not useful hata ikitokea umeachwa au umebreak up hautajuta Sana .

Ukichunguza zaidi RFK yako she has nothing to offer zaidi ya body yake.

So ataachwa Sana
Thanks for this advice
But what can she offer so that she become important
 
Thank for this advice
But what can she offer so that she become important
Useful - mtu wa manufaa huyu unamtumia pale unapokuwa na shida Kwa kipindi Fulani Ila Kazi yake ikiisha mnaachana Kama hamjawahi kuonana.

Important- muhimu mtu wa muhimu

So some women ni useful hutumika na wanaume Kwa kipindi fulani na kuachwa
 
Nimependa hio point 📌
Asante nimekuelewa
 
Ivi kwanini wanaume hamna chembe ya huruma?

Kuna mdada hapa hajui afanye Nini muda huu maana kaachwa na boyfriend wake..

Ni miezi kadhaa imepita ila naona Ile hali Bado inamsumbua...mwili wake umepungua mno na chuo kaacha kuja kabisa

Ushauri nimempa ila naona bado haumsaidii..nimeleta huku jukwaani maana motivational speaker na washauri hawakosi ili tumsaidie....

Anaweza kujidhuru Kwa Hali hii kashindwa kumsahau boyfriend wake kabisa...

Ni hatua zipi anaweza kufata ili kuwa katika ukawaida au mambo yapi afanye
Anywe maziwa ya mgando kila siku mara tatu
 
Asikilize hizi nyimbo:
Better in Time by Leona Lewis🥰
Even Heaven Cries by Monrose😇
Stronger by Kelly Clarkson 💪
If You want Love by NF🤗
Happy by Pharrell Williams😃
Sepa by Appy😏
Enjoy by Jux🥳
Attention by Whozu 😄
Mubaba wangu by Rose Ree 🙌🏻
Poa by Maua Sama 👍
Shuu! by Aslay 👌
wewe msagaji unajua nini kuhusu mapenzi ya mwanaume na mwanamke?

kasagwe kisimi huko
 
Huyo atakuwa mgeni wa mapenzi,alitoka mkoani bikira. Hii ndiyo heartbreak yake ya kwanza,atapona tu na kuwa sugu. Muda ndiyo dawa wala hakuna ushauri utamsaidia.

Labda ajitahidi kuto kuonana kabisa na huyo jamaa kama anaweza,asipoangalia atageuzwa mchepuko na jamaa.
 
Mpatie namba yangu, angalau tukapande naye mlima mrefu afrika; na hakika atakaa sawa ndani ya siku moja.
 
Ivi kwanini wanaume hamna chembe ya huruma?

Kuna mdada hapa hajui afanye Nini muda huu maana kaachwa na boyfriend wake..

Ni miezi kadhaa imepita ila naona Ile hali Bado inamsumbua...mwili wake umepungua mno na chuo kaacha kuja kabisa

Ushauri nimempa ila naona bado haumsaidii..nimeleta huku jukwaani maana motivational speaker na washauri hawakosi ili tumsaidie....

Anaweza kujidhuru Kwa Hali hii kashindwa kumsahau boyfriend wake kabisa...

Ni hatua zipi anaweza kufata ili kuwa katika ukawaida au mambo yapi afanye
Rubbish tupu. Wazazi wameteketeza Ada bure kabisa.
 
Back
Top Bottom