Msaada kwa rafiki anayeuguza moyo uliovunjwa

Kwenye wimbo wa Mjomba- chocheeni kuni kuna mstari anasema "mimi sidhani kama kujiponya kwa mambo mazito tunahitaji cheti kilicho gongwa muhuri wa moto au mtaalamu wa magonjwa ya akili zaidi ya kutumia neno sahau tu".
Mwambie asahau tu.
 
Daah
Huyo anahitaji muda ajipange. Lakini mwambie kwamba ndoa ni utapeli mkubwa ndo maana wanaume sasa tunashtukaga mapemaa na kuingia mitini
 
Kwenye wimbo wa Mjomba- chocheeni kuni kuna mstari anasema "mimi sidhani kama kujiponya kwa mambo mazito tunahitaji cheti kilicho gongwa muhuri wa moto au mtaalamu wa magonjwa ya akili zaidi ya kutumia neno sahau tu".
Mwambie asahau tu.
Ntamwambia
 
Mshauri sana kwamba, huyo jamaa aliyemkimbia hakuwa mtu sahihi kwake. kilio anacholia leo kingekuwa ni kilio cha kudumu endapo wangeendelea hadi kuoana....

Amshukuru Mungu kwa yaliyotokea, amalize chuo atapata mtu sahihi
Asante kwa ushauri🙏
 
Akikua ataacha utoto
 
Kumbe kapumbuvu kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…