Msaada kwa rafiki anayeuguza moyo uliovunjwa

Mwenzio azingue halafu aachwe, uje useme wanaume hatuna huruma hata chembe...!?

Hapo kwenye conversation yenu umezungumzia alivoukwepa usingle mother.. kumbe hata ninyi hamuupendi...

Avumilie tu atazoea.. heartbreking hainaga tiba. Ni kupiga tu moyo konde.
 
Gamgbang round moja tu inamtosha
 

Mnazinguaga sana nyinyi
 
Asikilize hizi nyimbo:
Better in Time by Leona Lewis🥰
Even Heaven Cries by Monrose😇
Stronger by Kelly Clarkson 💪
If You want Love by NF🤗
Happy by Pharrell Williams😃
Sepa by Appy😏
Enjoy by Jux🥳
Attention by Whozu 😄
Mubaba wangu by Rose Ree 🙌🏻
Poa by Maua Sama 👍
Shuu! by Aslay 👌
 
Mwambie aache kujiendekeza, mwezi mzima unalia kisa mtu huo ni upuuzi. Wazazi wake wamemlipia ada akasome sio kuendekeza mapenzi chuo. Ainuke hapo akasome na hasira zote ahamishie kwenye kitabu matunda atayaona baadae
 
Awache uasherati na uzinzi.
 
Kama anapenda mikuyati mwambie kwa hali ilipofikia sasa aachane na Gen Z atafute tu mwanaume mtu mzima amlee. Katika hili atakuja kunishukuru! Siku hizi kwa hii milegeza sarawili hakuna wanaume hapo!
 
Mwambie hakuzaliwa naye na hatakufa naye.. Mapenzi ni fashion kupendwa na kuachwa hakujaanzia kwake
 

Time heals, ajitahidi tu na kuacha upumbavu asije kufa kabla time aija Mheal; nimepita hapo kwenye maumivu similar na hayo; unaweza kufa ukiwa mpumbavu!
 
Yaan mtu aache kuhudhuria vipindi Chuo, kisa kuachwa na BF?
hicho ndo alicho endea huko Chuo? Dooooh

Msibaa huu, [emoji22][emoji22][emoji22]
Likely huyo alikuwa ameolewa kwa hizi ndoa bubu za wanachuo - akifua, kupika na kupelekewa moto kila siku. Amepigwa chini ghafla vu bin vu sasa cha moto anakiona.

Inavyoonekana bado yupo kwenye denial stage; na hajakubaliana na hali halisi kuwa keshaachwa. Akija kuondoka kwenye denial stage basi ndiyo safari halisi ya uponaji itaanza. Kwa sasa anahitaji watu wa kuwa karibu naye na kumtia moyo. Kama chuo kina washauri nasaha au wanasaikolojia ya mandeleo basi aende akaongee nao. Naamini atakuwa OK na akijipa muda atakuja kukiona kipindi hiki kuwa ni cha muhimu sana kwake maana kitakuwa ndicho hasa kimemfundisha mambo mengi ya muhimu kuhusu mahusiano na maisha kwa ujumla. Na pengine hatarudia tena kosa la kuolewa na hivi vivulana vyenzie vya chuoni 🚮

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…