Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu Ni NDIO imeshushwa kutoka katika kitabu kitukufu cha Mbinguni cha kwake yeye Mwenyezi Mungu kinacho rekodi kila tukio kuanzia alipoanza kuumba Hadi wewe unaposhusha Uzi huu kitabu kilikwisha andika na kitaendela kuandika mpaka mwenyew atakapo amua kiache...
Matendo yote ya binadamu mazuri na mabaya yamerekodiwa humo japo na malaika wanaandika lakini hiki ndio kitabu kikuu cha kumbukumbu zote hivyo vitabu vyote vometokea humu
QURAN 57:22 kila kitu kimekwisha andikwa katika kitabu
21:105 zaburi imeteremshwa kutoka katka kitabu
7:145 tourat pia imeshuka kutoka kitabuni
85:21-22 Quran kutoka kitabuni
Allah A'alam...
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Nyie wagalatia ndio maana kina Mackenzie wanawachezea wanavyotaka weweQURAN IMEANDIKWA NA SHETANI MPINGA KRISTO NA NABII WA UONGO.
QURAN 2:97 - Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.
ADUI WA MALAIKA WA MUNGU NDIE ALIYEITEREMSHA QURAN
1.JE ADUI WA MALAIKA WA MUNGU ATAKUWA NANI?????
2. JE ADUI WA MUNGU NI NANI????
JIBU NI SHETANI.
SITAMANI WAKRISTO JIJIFANANISHE NA HILO SHIMO LA KUZIMU UFUNUO 9.
Kwa kukusaidia acha unafiki umesema unataka msaada Y kuwa Quran kweli imetoka mbinguni? Lakini kumbe unataka kutuletea ujinga wako hutaki kujifunza unamajibu yako wewe Ni mwehu kabisa
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Wewe Ni mokiti katka ID nyingine nenda kwenye Uzi wa Issa As si Yesu tafuta comments zangu nimejibu vitu vingi mle siwezi rudia rudia Kama ninwakujifunza..JE ANAYESEMA ATAWAZAA HAPA DUNIANI NA KUWAPOTEZA WOTE NI NANI??????
Quran 15:39.
Akasema :mola wangu mlezi! Ilivyokuwa imenitia makosani, basi nahakikisha nitawazaini hapa Duniani na nitawapoteza wote.
Shetani hakuwafīcha kuwa anawapeleka motoni
وَإِن مِّنكُمْ إِلَّا وَارِدُهَا ۚ كَانَ عَلَىٰ رَبِّكَ حَتْمًا مَّقْضِيًّا
[ MARYAM - 71 ]
Na hakuna yeyote katika nyinyi ila mwenye kuifikia jehannam Hiyo ndiyo hukumu ya Mola wako Mlezi ambayo lazima itimizwe.
allah mwenyewe makazi yake ni motoni!
Sahih al-Bukhari 4848
Narrated Anas:
The Prophet (ﷺ) said, "The people will be thrown into the (Hell) Fire and it will say: "Are there any more (to come)?' (50.30) till Allah puts His Foot over it and it will say, 'Qati! Qati! (Enough Enough!)'"
حَدَّثَنَا عَبْدُ اللَّهِ بْنُ أَبِي الأَسْوَدِ، حَدَّثَنَا حَرَمِيٌّ، حَدَّثَنَا شُعْبَةُ، عَنْ قَتَادَةَ، عَنْ أَنَسٍ ـ رضى الله عنه ـ عَنِ النَّبِيِّ صلى الله عليه وسلم قَالَ " يُلْقَى فِي النَّارِ وَتَقُولُ هَلْ مِنْ مَزِيدٍ. حَتَّى يَضَعَ قَدَمَهُ فَتَقُولُ قَطِ قَطِ ".
Reference : Sahih al-Bukhari 4848
In-book reference : Book 65, Hadith 369
Kama anaebishia allah sio maskani yake motoni atuwekee ushahidi aliutoa mguu wake motoni lini.
Wewe Ni mokiti katka ID nyingine nenda kwenye Uzi wa Issa As si Yesu tafuta comments zangu nimejibu vitu vingi mle siwezi rudia rudia Kama ninwakujifunza..
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Pia alirogwa na wachawiMOHAMED ALIOA MTOTO WA MIAKA SITA.
MOHAMED ALIKUWA ANAPAKA WANJA NA BREACH.
Pia alirogwa na wachawi