KatetiMQ
JF-Expert Member
- Sep 25, 2022
- 249
- 506
Ninajibu kwa uchache wa elimu yangu kuhusu swali lako ni hivi kitabu kitukufu cha quran hakikushuka kama karatasi kama unavyodai wala hakikuwa kama vile kilivyo bali yale ni maneno yaliyokuwa yakipelekwa kwa mtume Muhammad s.a.w kupitia kiongozi wa malaika wote jibrill mara nyingi alishushiwa kwenye kusimulia watu wa wakati wake kuhusu khabari za watu waliopita na ufafanuzi matatizo mbali mbali kwa wakati wake ndio maana quran sio kama vitabu vingine mfano hadithi kinaanza mwanzo wa story mpaka mwisho kwa mpangilio wa visa hapanaAkili yangu ni ndogo sana mkuu.
Nahitaji kujifunza zaidi na zaidi.
Ndio maana ya kuuliza swali.
Heri wewe mwenye akili nyingi uliyeweza kujibu swali kwa ufasaha
Wabillahi taufiq mola ndio mjuzi zaidi