Msaada: Mimi ni mmoja ya G55 sasa baada ya hapa tunafanyaje ndugu zanguni? Maana ni kama hesabu zimeenda hovyo

Wewe ni mwanasheria tuambie hapa sasa inaenda kuwaje?maana ni kama tumepoteza kote. Na msajili naye hakutumia utulivu kuamua suala la kusign. Ndo hapo kama tumepigwa chenga ya mwili.
Mkuu, kwani kila Uchaguzi kuna huu utaratibu wa kusaini hizo form za maadili kupitia kwenye chama, ilivyo kwa Viongozi wa Serikali?
 
Wazee wa kukinukisha wamewaingiza chaka
 
Ni afadhari CHADEMA ife, kuriko kutoka kwenye Misingi ya Kupigania HAKI ya Kweli, Utawala Bora na Mabadiriko.

Hakuna Faida yeyote ya kuendelea kua na CHADEMA mikwara kama Ya Mbowe.
 
Mkuu, unajua kwamba ile nyomi ya watu kwenye mikutano ile ya Lisu na Heche Kanda ya nyasa, ndio imewaponza hawa 55, na kutaka kugombea kwenye uchaguzi.
.
 
Wenzenu waliingia kama covid-19, na nyie mtatafutiwa namna. Halishindikani jambo
 
October hakuna uchaguzi. Muungeni mkono Lissu ili uchaguzi utakapofanyika 2026 mpate nafasi ya kugombea.
 

Hiv inamaanisha hata lile dirisha la usajiri wa chama kipya umeshafungwa? basi kama wote hamieni CHAUMA kwa mzee Rungwe mkale ubwabwa nadhi mwaka huu watatoa na piliilau
 
bora hivi maana Isingekuwa hivi mngepoteza TUU.. Its Rather you die standing like a man than to live like a coward. hata Kama wange saini CCM mbele kwa mbele Hiko Ndo kinachotia Hasira AU mnaona nisifa kuonekana na nyie mnachaguliwa akati hamtashika kiti chochte kama Tume ni Ya Mama Nyie Mnataka Mchaguliwe na Tume ya Kenya Au wapi samia Ndo wakusema bila Mabadiliko mnataka Mshindane nini Kaeni kimya acha wachukue kibabe sindo wanachofanyaga Miaka Yote
 
Jina lako halisi nani???
Tuanzie hapo kwanza, isije ikawa wewe ndo NTOBI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…