Msaada: Mke anataka ndoa ivunjike kwa kuwa mumewe anapewa vya ziada na mchepuko

Hebu mlete hapa huyo mkalimani atueleze vizuri maana inawezekana hujafikisha vizuri ujumbe labda kuna maneno umeyaacha🤣🤣
 
Wanasema mtu aliezoea kufirwwa/ kufirra hawezi acha kirahisi nikama wanakua addicted!

So sad!
 
Niliacha kuingia MMU kwa miaka miwili au zaidi kwsbb niligundua kuna story nyingi za kutungwa au kushabikia Dhambi hii mbaya na laana

Kumbe bado kuna watu wanapigia debe ufiraji
 
Kujiendekeza tuu mbona kule kwa Bibi kunatumika poa tuu shida ni Bibi afike na Babu afike Juu. Au mimi Ndio mshamba mazee
Baki hivyo hivyo siku utakayogundua mkeo au mpenzi wako anapakuliwa ndio utakapojua kuwa walinwengu si watu
 
Hizi ndoa za miaka hii zinatisha!! Hapo mke anasumbuka kujitibu mayutiayi yasiyoisha kumbe mume anafanya vitu vya hovyo [emoji57]

Huyo mwanamke aondoke kabla na yeye hajafanyiwa uharibifu mxiewwww!!!
UTI haiambukizwi
 
Hii stori bila shaka inakuhusu wewe mkuu ila umejaraibu kuigeuza ila kuna dalili zote za hii ndoa kupinduka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…