Baba na mama wa mtoto wake chini wajue watasaidiana vip kumlea mtoto wao,sababu wao ndo wazazi wake na ndo walomleta hapa duniani,wasikupe stress wewe.Mkuu we umenielewa vyema Sana imagine mtoto wako unakuja kumchukua jumapili kwa ajili jumatatu aende shule mtoto anakugomea kabisa hataki kwenda abaki huku huku..ndo maana nkawa nawaelewesha wachangiaji kuwa mtoto angekua amezoeshwa kwenda hata kwa baba yake pia Hali Kama hiyo isingekuepo
Roho mbaya ipi mkuu wakat mtoto nipo nae kila siku weekend nachozungumzia nikukataa wazazi mtoto kwenda kwa baba yake nahuyo hai na eneo Hilo hilo jiran kisa mama wakambo nababa kutomhudumia mtoto ipasavyo ukiachilia mbali hayo mengne yakuadapt tabia zakikeUna roho mbaya wewe ndio maana kuchunguzana kabla ya kuingia kwenye ndoa ni muhimu sana tusikurupuke tu kuolewa
Ila watu kama nyie wakija ndugu zenu mnaona sawa tu sio ndugu wa upande wa mke wako
Utajua hujui....aNimetolea mfano kwanamna ulivo niukiza.sio kwamba nae huyo mtoto yuko hivo Wala nimtoto Safi tu kitabia
Mkuu nawe hujaelewa vizur mtoto kuja weekend sio nongwa shida wazazi kutompeleka mtoto kwa baba hata siku moja nababa yupo eneo Hilo hilo kwakisingizio Cha mama wakambo na kutomhudumia mtoto ipasavyoMtoto kuja tu weekend ndio imekuwa nongwa dah wabongo siku hizi bajet imekuwa kali sana.
Mgeni kaja kamkuta mwanangu ana chumba chake,kama kuna chumba cha wageni sawa kama hakuna,wageni wanalala sebuleni.mwanangu nampigania kwanza,nimeona watu wanaangaika na makaka na madada zao,alafu wakifariki watoto zao hata pa kwenda hawana,tena hata kama kuna vitu viwili vitatu wananyanganywa na kuishi maisha ya tabu.upo sahihi 100%.si ndo ile wageni wamekuja eti watoto wangu walale sebuleni wageni chumbani..Kwangu hiyo hakunaga..watoto wangu acha wajitanue room wageni sebuleni.Yaani watoto wangu wasubirie wengine walale ndo wao walale..Hell No!! kisa kuwafurahisha watu wakati uki ukifariki wanaanza kuwaangalia kama takataka hao hao uliowafadhili na kuwafurahisha.
Roho ya uchoyo ipi mkuu wakat mtoto kila weekend nipo nae nachojaribu kueleza ni mama watoto na mdgo wake kumtenga mtoto na baba yake kwakisingizio Cha kutomhudumia na pia mama wakambo ukiachilia mbali michezo ambayo mtoto kaiadaptAndiko lako linaonesha jinsi uko na roho ya choyo!
Wanaume hatuko hivyo,Mungu hapendi hivyo.
Kabisa mkuu Na mimi nimeshuhudia mengi mfano mzuri My Dad (rip) and My Mom(rip) walijitahidi kuwa wema kwa hawa so called ndugu lakini hawakuwa na shukrani na nikichojifunza kwenye maisha ni kufight alone wew na familia yako!! ndo maana sitaki kabisa kuwafurahisha watu kinafiki!! My family is number one priority.Watoto wanakuja kuwa machokoraa wakati baba yao aliwafanyia mema watu..sifanyi ujinga huo..binadamu hana shukrani..ni 1 katika 100 au usimpate kabisa.Mgeni kaja kamkuta mwanangu ana chumba chake,kama kuna chumba cha wageni sawa kama hakuna,wageni wanalala sebuleni.mwanangu nampigania kwanza,nimeona watu wanaangaika na makaka na madada zao,alafu wakifariki watoto zao hata pa kwenda hawana,tena hata kama kuna vitu viwili vitatu wananyanganywa na kuishi maisha ya tabu.
Choyo vp mkuu wakati mtoto tunae kila weekend tunaishi nae vizur nachozungumzia nitabia zawazazi kumtenga mtoto na baba yake kwakisingizio Cha kutomhudumia vyema na pia mama wakambo Hali baba wamtoto anaishi eneo mojakutokana na maelezo ya muhusika na michango ya wachangiaji naomba tubadiliashe title ya thread iwe
"ROHO MBAYA NA CHOYO INANISUMBUA SANA"
Mama mtu nikama anataka jukumu lakumlea mtoto liwe kwake tu yaan mtoto asihusishwe na upande wababa mtoto aendelee kukua kwaupande kwakila kitu Hali baba yuhai na anamke na anashuguli zake zakumuingizia rizkiBaba na mama wa mtoto wake chini wajue watasaidiana vip kumlea mtoto wao,sababu wao ndo wazazi wake na ndo walomleta hapa duniani,wasikupe stress wewe.
Mkuu hakuna kinachoniuma chochote..Zaid nikwamba nikwanini mtoto atengwe nababa yake Hali yuhai kwasababu zakua baba yupo na mke mwingne napia kwakisingizio Cha kutomhudumia Hali baba yupo nashuguli zake nayupo eneo Hilo hiloWewe kinachokuuma Ni Nini haswa?
Humpendi?
Humtaki?
Unamchukia?
Anakumalizia Chakula Kwako?
Hamna pakumlaza?
Anakuzuia kwenye Mambo yako?
Kwahiyo tumsuse mtoto kwasababu baba yake yupo na hataki kuwajibika?Kulea mtoto ambaye unajua baba yake yupo anazungusha mbupu mjini hapa ni ujinga kabisa,linahitaji moyo sana..labda tu iwe huyo baba ana matatizo yanayofanya ashindwe kuhudumia.
Waafrika especially wabongo tunapenda kubebesha watu mizigo isiyowahusu..no wonder nchi yetu ipo karibia mkiani kwenye list za nchi na furaha duniani
Mauchoyo vip wakati mtoto tunaishi nae nababa mtu yupo eneo Hilo hilo anakula Raha...mama wamtoto kamtenga mtoto nababa yakeAcha mauchoyo hayo mkuu..
. Hapo wewe kinachokuuma Ni kuwa kwanini unamsaidia mwanaume mwenzio?Mkuu hakuna kinachoniuma chochote..Zaid nikwamba nikwanini mtoto atengwe nababa yake Hali yuhai kwasababu zakua baba yupo na mke mwingne napia kwakisingizio Cha kutomhudumia Hali baba yupo nashuguli zake nayupo eneo Hilo hilo