Voice of Tanzania
JF-Expert Member
- Sep 23, 2018
- 2,036
- 3,107
Ebu kiongozi tusaidie kitu kimoja jaribu kupakia humu tangazo la nyuma linalotoa maelekezo ya kurudia mtiani wa darasa la saba uwenda nasi tukajua kitu hapa ambacho atukijuiDogo atapata nafasi ya kufanya mtihani kabla ya January au mwanzoni mwa mwezi.
Cha kufanya tulia subiri tangazo.
Zamani ilikuwa free tu. Sijui siku hizi.
Subiri mwongozo kutoka NECTA. Mtapewa tu majibu ya namna ya kufanya. Kama hao watoto wote watatakiwa kurudia mtihani, au la.Wakuu Msaada.
Kijana wangu amemaliza shule ya msingi iliyofutiwa matokeo. Kwenye interview zote nne nilizompeleka amefaulu. Matokeo ya la Saba yaliyotolewa nuda si mrefu shule yake imekubwa na tatizo Hilo.
Je, akiendelea na sekondari kwa matokeo yapi ya la Saba yatatumika? Kwa maana kwamba ana uhalali wa kuendelea na private?
Kwenye taarifa za Baraza la Mitihani atakuja atumie taarifa zipi huko mbeleni (hii watanielewa wale wanaojua utaratibu pekee kama hujui hapa pita tu)?
Dogo alipita interview zote zenye ushindani ikiwemo Ahmes sekondari.
... sifa muhimu ya kuingia sekondari whether private or government sio tu entry exam ya sekondari husika bali pia ni kuhitimu elimu ya msingi; na ushahidi wa kuhitimu elimu ya msingi ni cheti; na cheti ni matokeo. Kwa maelezo hayo mafupi kokotoa majibu ya swali lako.Wakuu Msaada.
Kijana wangu amemaliza shule ya msingi iliyofutiwa matokeo. Kwenye interview zote nne nilizompeleka amefaulu. Matokeo ya la Saba yaliyotolewa nuda si mrefu shule yake imekubwa na tatizo Hilo.
Je, akiendelea na sekondari kwa matokeo yapi ya la Saba yatatumika? Kwa maana kwamba ana uhalali wa kuendelea na private?
Kwenye taarifa za Baraza la Mitihani atakuja atumie taarifa zipi huko mbeleni (hii watanielewa wale wanaojua utaratibu pekee kama hujui hapa pita tu)?
Dogo alipita interview zote zenye ushindani ikiwemo Ahmes sekondari.
Watu wanachukulia kawaida sanaMatokeo ya PSLE ni qualification ya mwanafunzi kufanya upimaji wa kidato cha pili FTNA, Hivyo lazima awe na matokeo. Hii imeanza mwaka 2019, usajili ulipoanza kufanywa mkondoni (online)
Ilikuwa ni enzi hizo, baada ya ndakichako kuwa waziri elimu amewabana warudiaji mf. Zamani mtu akimaliza form four anarudia form three siku hizi labda uwe private candidate au utumie jina la mtu aliekatisha masomo, kila form one private/ government lazima prem number (darasa la Saba), hakuna mkatoTuliwahi kufutiwa matokeo ya darasa la 7 mwaka 2006. Yule mama msimamizi nyoko sana, pale pale kwenye mtihani alituambia ninavyowaona hapa hakuna atakayetoboa.
Kwa sisi waliokuwa na uwezo waliendelea private, pangu pakavu tukarudia.
Akiendelea hatajuwa na PREMs namba hivyo hatasajiliwa popote pale kufanya FTNA akiwa kidato cha pili.Wala hakuna connection anaendelea Tu labda kama unataka apangiwe shule za serikali ndo arudie. Matokeo ya darasa la Saba KWA SASA HAKUNA YANAPOTUMIKA Almradi umemaliza
Huo uhuni wa zamani sio rahisi kufanya kazi zama hizi ambazo usajili unafanyika mitandaoni. Usajili unatumia namba sio jina kama na yule mlieiba namba yake akeinda sekondari serikalini basi imekula kwenu maana namba Moja haiwezi sajili wanafunzi wawili.Wahuni wanachofanya, unaongea na Mw mkuu wa shule x, anakupa namba ya Mwanafunzi ambaye hakufaulu na wazazi hawawezi kumpeleka private,unatumia namba na jina lake (bila wao kujua) baadae unaenda mahakamani kuapa kubadili jina moja. Ila ni Mambo ya wahuni!!!!
Interview alizopita hazina maana kama amefutiwa matokeo darasa la saba. Itabidi arudie mtihani kama serikali itakavyoelekeza.Wakuu Msaada.
Kijana wangu amemaliza shule ya msingi iliyofutiwa matokeo. Kwenye interview zote nne nilizompeleka amefaulu. Matokeo ya la Saba yaliyotolewa nuda si mrefu shule yake imekubwa na tatizo Hilo.
Je, akiendelea na sekondari kwa matokeo yapi ya la Saba yatatumika? Kwa maana kwamba ana uhalali wa kuendelea na private?
Kwenye taarifa za Baraza la Mitihani atakuja atumie taarifa zipi huko mbeleni (hii watanielewa wale wanaojua utaratibu pekee kama hujui hapa pita tu)?
Dogo alipita interview zote zenye ushindani ikiwemo Ahmes sekondari.
100%Mkurugenzi, una uhakika kweli na hiki ulichokisema hapa!!
Watu wajuaji humu, hawajui mambo yamebadilika, hata kumhamisha mtoto kutoka shule moja kwenda nyingine lazima awe na hiyo namba ya usajiri ya drs la 7. Ninachojua watoto waliofutiwa matokeo wataandaliwa mtihani mwingine watafanya before January ili kuwawezesha kwenda kidato cha kwanzaMambo yamebadilika. Siku hizi watoto wote wanaomaliza elimu ya darasa la saba majina yao yanatakiwa kuonekana kwenye mfumo.
Kinyume na hapo, mtoto hawezi kupata usajili. Hata kama unampeleka private! Lazima jina lake lionekane kwenye huo mfumo.
Ukichukua jina la mtu, hujui tayari una cheti cha kuzaliwa kina picha yako?Ilikuwa ni enzi hizo, baada ya ndakichako kuwa waziri elimu amewabana warudiaji mf. Zamani mtu akimaliza form four anarudia form three siku hizi labda uwe private candidate au utumie jina la mtu aliekatisha masomo, kila form one private/ government lazima prem number (darasa la Saba), hakuna mkato