Msaada: Mume wangu tukiwa pamoja ni sex tu, hanipi muda tukakaa tu na kuongea

Maana halisi ya kupelekewa Moto!!
 
Mimi usinipende tafadhali.
Nendeni kwenye semina ya ndoa
 
Mume/mke kwenye ndoa ana play part hizi
Mzazi
Kaka/dada
Ndugu
Mpenzi
Rafiki
Mwalimu
Kiongozi
Na kila part ina wakati wake na mahala pake.. Na mara nyingi hii hutokea automatically bila kupangiana sala kupangana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaonekana wewe ni mali safi. Kuamsha hamu ya mwanaume kwa kiasi hicho si jambo dogo.
 
We dada.... Wanawake wenzio wanalalama hawaguswi miezi 6 .... Wewe unasuguliwa kila kukicha unaleta mada ya kulalamika.... Badilisha namna unavyoongea na mumeo. Ongeza unyenyekevu na usikivu.... Atakupa muda. Kuwa more romantic, acha kushindana naye kila wakati..... Atakupa muda wa kutosha kabisa.
 
Hilo jambo ni la ww na yeye mengine ilitakiwa uwaambie wa simamizi wako apa tutakujaza kiburi maana umeundwa hujaelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…