RedPill Prophet
JF-Expert Member
- Apr 25, 2023
- 1,408
- 3,564
Yaani kiufupi mwanamke anatumia masculinity kama fimbo kwa wanaume, kuna vitu lazima na nyie mfanye. One sided relationship ndani ya uchumba au ndoa ni upumbavu. Huyo mwanaume kakataa kuwa mpumbavu.Unalo gari wewe, achana na ndege.