DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Kweli kiburi Cha uzima ndo kinamsumbuaWakati utapigwa na upepo kamili wa umaskini na magonjwa hakutakuwa na haja ya advise utaacha tu ....in the meantime chakatua mbususu ,kumbuka Kuna super gonorrhea inasambaa hapa mjini omba isikupate
Ameomba ushaur kama huna kausha kwan ww hujawai zini auWatu wapumbavu Kama nyie Mnabidi kukaa kimya tu sasa ngono ukifanya unapata faida gani zaidi ya uchafu !
Mchungaji naye ni mgongaji kama wewe.Naweza kusema dhambi UASHERATI ndiyo itakayonifikisha motoni. Zingine naweza kuzishinda. Nikiona tu Yale makalio yanavyotikisika nahama Chanel.
Nimejitahidi kujikana nafsi yangu na kutumia mbinu mbalimbali kuutiisha mwili wangu lakini ni kama tu najaza maji kwenye chujio.
Nilifanya maombi ya kufunga siku 120 lakini wiki moja baadae akaibuka mrembo niliyemtongozaga na kunikatalia kwa muda mrefu, akaja mwenyewe ghetto nikamgonga, baada ya bao moja ndipo akili ikanirudia na kugundua kuwa nimeingia kwenye mtego ule ule!
Huwa Nasali kanisa la Tanzania Assemblies of God(TAG).
Nilimshirikisha Mchungaji wangu akaishia kunigombeza na kudai kwamba sijaokoka na siku nikiokoka automatikale nitaishinda zinaa.
Naomba ushauri labda kuna mbinu za kuondokana na suala hili.
Haina faida hiyo ni starehe ya watu wa dunia ya tatuKweli hujui faida za ngono au umeamua kumzingua mshkaji
Ameomba ushaur kama huna kausha kwan ww hujawai zini au
Alaa alaa alaa!Watu wapumbavu Kama nyie Mnabidi kukaa kimya tu sasa ngono ukifanya unapata faida gani zaidi ya uchafu !
Umejibu vema kwa kuwa ni starehe ya watu wa dunia ya tatu na tunaishi dunia ya tatu sioni tatizoHaina faida hiyo ni starehe ya watu wa dunia ya tatu
Nashukuru Sana mkuu. Pia nikitanikiwa nitakupa mrejeshoMchumba wako na wewe kitu mlichokosa ni maarifa.
Mimi hata siku moja siwezi kuhubiri kwa kukaripia (kuhukumu) waumini. Ni dhambi kubwa. Watumishi wanapaswa kuonyeshwa namna ya mtu anavyoweza kuzishinda dhambi mbalimbali na si kukemea huku mijasho inawatoka na sadaka zao anakwenda kununua kuku na kupeleka watoto shule za international
Dhambi huishindi kwa kujitesa kuacha kula miezi 4 hivyo.
Mimi nikifunga siku tatu tu tena masaa 12 kwa siku nikikutana na mtu mwenye pepo lazima aanguke au akimbie mwenyewe. Sasa siku 120 ulizofunga si ungeweza hata kutembea juu ya maji kabisa.
Tumia hatua hizi utakuja kunikumbuka
1. Kaa jifungie mahali angalau masaa mawili kwa siku ndani ya siku 5 mfululizo. Huko sirini(chumbani kwako) weka nyimbo za kuabudu kwa simu au radio yako kisha uwe unafuatisha au unaabudu pamoja na mwimbaji.
Sio lazima kufunga. Huna cha kumpa Mungu zaidi ya sifa na ibada safi.
Mungu atakujia mwenyewe na kukupa neema ya kushinda dhambi hiyo.
Dhambi ya uzinzi ni silaha ya mwisho ya Ibilisi kwa watumishi wa Mungu .
Hata wachungaji na maaskofu wengi unaowafahamu ni wazinzi sema tu hawana wa kumwambia ili wasaidiwe.
Ukifanya jambo hili ndani ya siku 5 bila mafanikio njoo pm nikupe njia nyingine.
Oa kwanza hasira za tamaa utakua unamalizia KWA mkeo na kujiepusha na mengi!Sijaoa. Lakini Nadhani kuoa hakutonisaidia kwani hata waliooa wanachepuka
HakikaSijaoa. Lakini Nadhani kuoa hakutonisaidia kwani hata waliooa wanachepuka