Msaada: Nampenda kuwa mcha Mungu lakini makalio ya wanawake yananiangusha

😀😀😀🤣Yani upige swaumu siku 120,halafu uburuzwe na makalio tu hapana aisee. Ipo shida mahali.
 
Reactions: Avs
Huwezi kuwa muumini kama utashindwa kuishinda dhambi hiyo😂

Kila mtu ana dhambi zake ambazo zinamuendesha kweli kweli na wewe hiyo ni yako pambana nayo mkuu hata mimi naweza tunza pesa za watu bila kudokoa ila wanawake siwezi maliza dakika 5 sijaflirt nae😂
 
Nimekupm namba yake huyo,mpigie uongee naye atakupa ushauri zaidi
 
Unapoteza muda, achana na hayo maombi au hiyo dini yako.

Huwezi kushinda tamaa za kimwil kwa kutegemea hizo imani za kijinga za kusadikika, control your emotion through your ability not dependence on imaginarry belief, utahangaika sana, ukiweza kujua kila jambo licho chin yako hutopoteza muda kwenye maombi ya kijnga utakazana na mambo ya msingi.
 
Umeongea kihunihuni, ila ukae ukijua hakuna jambo lililo gumu la kumshinda Mungu. Kwake yeye, yote yanawezekana, ikiwepo ushindi dhidi ya tamaa za mwili, tamaa za macho na kiburi cha uzima.
 
Hamia Vatican
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…