Msaada: Nampenda kuwa mcha Mungu lakini makalio ya wanawake yananiangusha

Wale wadada wanaocheza ovyo kwenye nyimbo za singeli wamekoment sana kwenye uzi huu
 
Ushauri.
Kwanza tubu dhambi zako na kumwomba Mungu akupe msaada
Pili: Akikisha umejazwa roho wa Mungu huyo ndiye atakuwezesha kushinda.
Kwa kweli dhambi ya uzinzi na uasherati bila msaada wa Mungu huwezi kuishinda. Niliokoka nikiwa form two almost 43 yrs ago. Na sijawahi kulala na mwanamke yeyote zaidi ya mke wangu. Majaribu ni mengi sana especially kazi yangu ni ya kuzunguka sana lakini kusema ukweli Mungu amenishindia. Vijana wengi tuliokokoa nao baadaye walishindwa na kuangushwa na wanawake. Makanisani nako wamejaa sana. Juzi tumeletewa kesi na mwanamke akidai mchungaji kutoka one of our branch amezini naye na amemwambukiza ukimwi. Just imagine Mchungaji anafanya huo uchafu na anakwenda madhabauni kufundisha. Mtu kama huyo usitegemee msaada wowote. Ndiyo ujue hii dhambi hata watumishi inawashinda. Shetani amejua udhaifu wa wanaume ndiyo maana huko makinisani amewajaza wanawake wazinzi na wanaovaa vibaya ili kuwashika wakristo wachache waliosimama. Watu wanasema wakristo wanavaa vibaya lakini kwa taarifa yako wale ni watumishi wa shetani. Mkiristo wa kweli anavaa nguo za heshima. Anyway Christianity is not an easy way need a lot of sacrifice in order to live a Holy life. Kuna siku nilifikiri that was an end of my Christanity lakini Mungu akanitia Nguvu.
Niakusihi usikate tamaa endelea kumwomba Mungu. He is there to help anyone who come to Him faithfully.
 
Hivi unadhani kwanini Mungu aliwapa wanawake makalio ya kuvutia? huna baya huo ndio uanaume piga show kijana
 
Miaka 43 bila kuzini🤔🤔🤔
 
Ondoa kwanza picha uloweka kichwani kwamba mwanamke mwenye trako linaloendana na picha ulonayo kichwani ndiye mzuri.

Pili weka picha mpya kwamba wanawake wa aina hiyo sio wazuri. Taratibu utaanza kuwaona hawafai
Sawa ahsante mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…