kekule benzene
JF-Expert Member
- Sep 28, 2016
- 1,444
- 3,576
Sana kakUpungufu wa nguvu za kiume ni hitilafu katika mifumo ya mwili hasa
1. Mfumo wa homoni (testosterone)
2. Mfumo wa fahamu
3. Mfumo wa mzunguko wa damu
Yote kwa yote, ulaji, mtindo wa maisha ikiwemo nyeto, stress nkhuathiri sana mifumo hiyo
Hivi hiii si ndio dawa ya Kushusha PRESHA? mnajua unawez ona unasaidia tatz fulan kumbe ndio unaenda Kumuua kijana wa watu... Haya mie simoPunje Saba za kitunguu swaumu, meza na glass ya maji asbh na jioni, yaani punje 14 per day, baada ya siku 7 tu usipoangalia utabaka kuku
Umenena sahihiMatangazo ya wafanyabiashara sometimes yanaalibu saikolojia ya mtu mambo kama kuwahi kumwaga, kushindwa kusimamisha, kukosa hamu ya tendo huwa yanatokea kutokana na mazingira husika sasa kwenye matangazo uko redioni, mtaani na.mitamdaoni watu wakishaambiwa izo dalili za upungufu inawaathiri kisaikolojia na kujiona wana shida na kuanza kutafuta tiba ya matatizo ambayo hawana na wanaishia kupotea kabisa kumbe iyo ni hali ya kawaida tu sometimes kutokea
We utakuwa uko idle siku nzima na muda mwingine kuwaza ngono. That won't happen for the whole day-busy menNguvu za kiume ni pamoja na jogoo kuwika Zaid ya Mara tatu kwa siku, asubuhi, mchana na usiku kabla hujalala kwa mwanaume rijali lazima jogoo awike hiyo mida
Jamiiforum Kuna vituko sana mtu hakujui lakin anajifanya anakujua, wewe ambao uko bize unatafuta nin uko jamiiforum,We utakuwa uko idle siku nzima na muda mwingine kuwaza ngono. That won't happen for the whole day-busy men
Haisimami kabisa au unawahi kumleta Dejan?
Shukran
Sio Dejan wewe jamani... khaaaUnamaanisha nin?
Kuna zoezi moja unatakiwa uanze kulifanya mara nyingi ukiamka na ukiwa safari ukiwa ofisini na pia acha kuangalia pornal,Acha video za ngono,usiwaangalie wanawake wakiwa beach,usiwaahangae wanawake makalio kwa kifupi uwe na nidhamu.Msaada jamani ninasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume nimetumia madawa mengi kuniponyesha lakini ndo halo yazidi kuwa mbaya.
Nishatumia sana madawa ya ku boost na nyeto kwa sana akn mpaka sasa nisha kuwa dhaifu ata niliona mazingira ya mwanamke haisimami.
Naombeni msaada jamani nateseka sana.
๐๐๐๐๐๐
๐๐๐Sio Dejan wewe jamani... khaaa
Shida ya hospitali wana rely kwenye kipimo cha hormone tu ikiwa sawa basi wanasema katulize akili mara psychology sidhani kama kuna specialist anaweza cheki mfumo wa mzunguko wa damu na mfumo wa nerve hospitali unapoteza hela tu wengine wanacheki mpaka sperm analysisi utadhani umewaambia hauwezi zalisha.Nenda hospitali kamwone specialist wa ilo suala mkuu wala usiogope au kujishtukia. Mwelezee tatizo lako atakuelewa na kukupa mwongozo na itabaki kuwa siri yenu hatokutangaza
Halafu mtu unawezaje kupiga punyeto kama huna nguvu za kiume..au nguvu za kiume ina definition yake nyingine.Kama huna nguvu za kiume Huna tu watu wanasingizia punyeto lakin unakuta ni tatizo la kuzaliwa mtu tokea akiwa mdogo jogoo anawika kwa mbinde lakin anasingizia punyeto, sitetei punyeto hapana
Acha kutisha watu mkuu.Nguvu za kiume ni pamoja na jogoo kuwika Zaid ya Mara tatu kwa siku, asubuhi, mchana na usiku kabla hujalala kwa mwanaume rijali lazima jogoo awike hiyo mida
Kwahiyo aende wapi mkuu, maana huku mtaani ndo hao mara punje 7, meza hiki, kula hiki, fanya hiki. Kila mtu na chake.Shida ya hospitali wana rely kwenye kipimo cha hormone tu ikiwa sawa basi wanasema katulize akili mara psychology sidhani kama kuna specialist anaweza cheki mfumo wa mzunguko wa damu na mfumo wa nerve hospitali unapoteza hela tu wengine wanacheki mpaka sperm analysisi utadhani umewaambia hauwezi zalisha.