MSAADA: Nasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume

Wengi wanaona kua hili ni tatizo la psychology ni ukweli lakini si kwa asilimia zote... Masturbation is healthy but over masturbation ndo shida mkuu. Una haribu mfumo mzima wa umeme wa kusimamisha uume bila wewe kujijua. Na tiba yake mara nyingi sio tu kumeza midawa ila upone, ina kuhitaji na wewe mwenyewe pia willingness yako. Inabidi uache kuangalia porno, uache kujichua kwa siku 40 kabla ya kuanza tiba yenyewe. Unaweza ukapona kwa diet na mazoezi tu bila kumeza dawa yoyote. Sema uwe na pesa ya kujipangilia vyakula na uvumilivu wa kufanya mazoezi. Inabidi dopamine levels zako zirudi kama awali, testosterone levels ziwe high, nitric oxide ya kutosha mwilini... Ni deep sana hili swala na limewaua vijana wengi wa 21st century wazee wa internet cafe na kujichua. Huwez jua mpaka yakukute..
 
Muheshimiwa hebu nitext whatsapp kwenye namba hii nikupe muongozo unaoweza kukusaidia +252 610 92 89 40
Ahsante
 
tatizo ni hiyo nyeto. imelegeza misuli. jitahidi uache (japo ni addiction mbaya sana) hata mwezi mmoja, utaona tofauti kubwa
 
Mwanang umemaliz kila kitu nijamaa tu aku dm umpe info in deep coz ni matter ov hormones and mind set bc [emoji1544]
 
Mimi sio mhusika lakini na Mimi nateseka sana na ili tatizo mpaka nimefikia hatua ya kutengana na mke wangu Kama Kuna msaada na mi nipate
Una umri gani? Una magonjwa yeyote ya kudumu kama kisukari na presha?
 
Chukua asali robo weka punje 10 za kitunguu kama nusu ya kitunguu maji tia humo changanya hapo tangawizi tia MDALASI VIJIKO VIWILI kunywa vijiko viwili asubuhi na usiku UTAKUJA KUNISHUKURU unaweza kumla hadi akashindwa kutembea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…